Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Robertinho bado ni kocha mwenye mapungufu mengi, wanaomfananisha na Nabi naona wanasukumwa na mihemko ya kishabiki na sio uhalisia. Mechi na Namungo akupaswa kufanya utoto kama ule eti...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Viongozi wa klabu ya Simba SC wanafikiria kuhamishia mechi zake za kombe la shirikisho barani Afrika (CAF CC) katika uwanja wa Aman uliopo Zanzibar (kwa mechi za nyumbani) Sent using Jamii Forums...
5 Reactions
51 Replies
5K Views
1) Fumua timu yote. Wakubaki hawazidi 8 nao wapigwe mkwara. Mfano inonga anazidisha mbwembwe kwenye wakati usio muafaka. 2) Fumua benchi lote la ufundi. Hakuna kocha hapo. Kocha anashindwa kusoma...
10 Reactions
28 Replies
2K Views
Najua matusi na kejeli zitamwagika Kama mvua ya mawe baada tu NALIA NGWENA kuzungumza ukweli huu mchungu usiopingika. Zimeibuka kelele nyingi zakumtukuza Jean Baleke kuwa ni "talk of town"...
2 Reactions
111 Replies
6K Views
Ndugu zangu makolo hongereni kwa kumaliza msimu huu na makombe kedekede.Timu yenu mmeiharibu wenyewe kwa kuwapa wachezaji wenu sifa zisizofaa na hiyo imepelekea wachezaji wenu kuwa na OVER...
7 Reactions
5 Replies
967 Views
Tatizo tunaishi kwa mazoea na usimba na uyanga Yanga wakati inaanza mwaka huu wa mashindano ilikuwa ya 75 Leo hii yanga ipo ndani ya top 20 best club in Africa. Wakishika nafasi ya 20 wakati...
2 Reactions
40 Replies
3K Views
Kwa mara nyingine tena mabingwa wa robo fainal caf Simba Leo wamefanikiwa Tena kufa kiume huko mtwara baada ya kubanduliwa goli 2-1 na Azam katika mchezo wa nusu fainali Azam Confedaration Cup...
10 Reactions
16 Replies
1K Views
"Mechi ni ngumu, lakini mimi natamani tufungwe na Azam halafu Yanga watwae kombe la CAFCC ili Simba tupate uchungu tusisajili akina Sawadogo tena" "Unajua tukishinda na tukafanikiwa kuchukua (FA)...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Ikiwa habari ya kesho ni hii basi huyu dada anatakiwa kuingia moja kwa moja peponi. Msije kuniua, nimetumia lugha ya picha tu. Nachotaka kusema kocha ametafuniwa kila kitu!
10 Reactions
36 Replies
4K Views
Watu wengi wanazunguka zunguka lakini mikosi kwa simba ilianzia hapa kwa kumkejeli mungu. Lakini wangekua na msimu bora sana mwaka huu
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Wakuu Afrika hii kuna makocha alafu kuna huyu mzee Pitso mosimane ni kocha nusu Mwamba baada ya kuachana na Al Ahly ya Egypt Alisajiliwa na team ilioshuka daraja huko uarabuni..Rais wa team hiyo...
12 Reactions
33 Replies
4K Views
Habari zenu.. Nina masikitiko sana msimu huu simba hawajachukua kombe lolote. Mimi ni shabiki kindaki ndaki wa yanga mimi ni mwananchi kabisa na siwezi kuishabikia simba daima. Ila kinachoniumiza...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Za weekend wadau wa soka, Mapambano yanaendelea na harakati ziendelee maana vyuma vimekaza kweli kweli huku mtaani. Ikiwa league inaelekea ukingoni huku Yanga akionekena kuwa na dalili zote za...
8 Reactions
38 Replies
3K Views
Mara nyingi utasikia hadithi na sifa kwa wachezaji wa Simba na Yanga. Ila kiukweli Mchezaji Price Dube ni bonge la Straika. Kati ya Mastraika ambao timu nyingi na haswa Simba SC, hawatawasahau...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu... Kuna vitu vina Shangaza sana,hivi unapataje nguvu yakumfananisha mayele na hao wachezaji wenu wa mchongo. Tulifurahia John bocco alipofikisha magoli 100, tukashindwa kuelewa kuwa...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Mbali na kupoteza mechi ya kimataifa kizembe na ku draw na Namungo lakini bado benchi la ufundi hawajifunzi na hata wachezaj hawaoneshi seriousness ya mechi zilizobaki. Wakiingia tu mikwaju ya...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Sisi wanasimba furaha yetu tulishazimaliza na kuwapongeza kwa mafanikio yetu ya msimu huu baada ya timu kutoka Morocco. Sisi kauli ni ile ile hatuwadai benchi la ufundi, hatuwadai wachezaji na...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavojieleza mimi sina maneno mengi tukutane mpira ukiisha Mechi na Yanga sio kipimo na siku ile Simba hakushambuliwa ipasavyo hivo msijipe matumaini kwa huyo kipa Hamna...
1 Reactions
42 Replies
3K Views
Simba SC this season - 2022/23 No CAF Champions League No NBC Premier League No AZAM FA Cup No Mapinduzi Cup No Community Shield No Twitter World Cup[emoji23] Who to blame?
0 Reactions
3 Replies
477 Views
Leo ni uzinduzi rasmi wa Simba Week, tuna mambo mengi kwenye wiki hii. "Msimu huu tunarudi kwa nguvu, tunarudi kutetea ubingwa wetu na slogan yetu ni WE ARE UNSTOPPABLE - HATUSHIKIKI –...
13 Reactions
59 Replies
4K Views
Back
Top Bottom