Simba itateseka kwa misimu kadhaa jiandaeni kisaikolojia

Mangi shangali

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
533
817
Natumaini wazima,

Najikita kwenye uzi nikiwa nimechunguza na nikagundua ndani pa Simba kuna moto unawaka taratibu siku huu moto utakuja kulipuka paaaaah. Viongozi na mashabiki watakimbiana, Mo atajiuzulu, kibaraka wake atakimbia timu.

Kuna laana inawatafuna Simba chini kwa chini, tena ni liana mbaya wanatakiwa watafute msamaha kwa Mungu.

Kwanza nieleweke hapa:

Moja: Kumdharau Haji Manara nikumuita alibino
Hakuna kitu kinachoumiza maishani mwa binadamu kama kumdharau mtu ambaye aliwapambania kwa kila hali. Jamaa ndo alizuia mishale yote iliyotoka kwa wapidhani kwenda kwa viongozi na timu kiujumla.

Jamaa alikubali kufanya kazi kwa mshahara mdogo, pia alitumia pesa zake kusafiri pale timu inapoenda kucheza mbali na Dar.

Bila kujali yote aliyowafanyia mkamshutumu kwa mambo ya uongo na upuuzi wa viongozi wenu. Jamaa alikuwa anajua mambo mengi ya ndani kabisa, ambayo viongozi walikuwa wanaifanyia club.

NOTE: Simba mkitaka kufanikiwa muombeni Manara msamaha au mrudisheni kwenye club

Mungu daima huwa na watu walio na mlemavu, na huwasaidia kupigana vita zao.

ZAB 35:1, "Ee Bwana utete nao wanaoteta nami,upigane nao wanaopigana nami." Kwa mtu aliyeelewa hiyo mistari happ juu tupo pamoja.

Pili: Mstaafu CEO wa Simba Barbara Gonzalez
Kama kuna vitu vya ovyo walichokifanya Simba ni kuachana na Barbara yani ni upuuzi wa ngazi ya vyuo vikuu. Aisee yule dada popote alipo Mungu hamnyooshee safari nyeupe ya maisha yake.

Dada aliwakaba viongozi wa Simba kindakindaki, jamaa hawakupumua kabisa pesa za upigaji walikosa kabisa, timu ilisimama vyema kila kiongozi alifanya kazi safi tena kwa ustadi wa hali ya juu. Sisi Yanga tulimtamani kuwa naye sana.

Daah viongozi wa Tanzania wakamuanzishia bifu, na atimae akahamua kusepa zake. Kweli sikio la kufa halisikii dawa. Simba humrudisheni huyu dada upesi iwezekanavyo.

Tatu: Kumdhihaki Mungu kwa wasanii wa Simba na kuingia ndani ya jeneza.

maxresdefault.jpg


Katika mambo yote mabaya hapa dunia ni kumdhihaki Mungu aliyeumba kifo, yaani pale tundamani kamuonyesha Mungu kuwa naingia ndani ya jeneza na hakuna jambo lolote litakalotokea.

Gal 6:7-8, "Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa chochote apandacho mtu, ndicho atakachovuna; Maana yeye apandaye kwa mwili wake; katika mwili wake atavuna uharibifu; bali yeye apandaye kwa roho, katika roho atavuna uzima wa milele."

Na hitimisha kwa kusema, Uchaguzi wa Simba ulijaa hila sana. Hivi kwa timu kubwa kama Simba kumleta Sinza manzoki kwenye uchaguzi wenu ilikuwa inamaanisha nini? Hii inaonyesha huyo CEO wenu mlimchagua mmemchagua kwa ajili ya kuifunga Yanga tuu maana msimu huu hamjaambulia chochote inasikitisha sana.

Mtu mwenyewe mliyemleta kwenye uchaguzi wenu hata kumsajili hamjamsajili daah, kweli unaviongozi wa ovyo sana. Huyo mnayemuita muwekezaji wenu, Mo makorokoro anapata faida kubwa kuliko timu yenyewe, mpaka leo watu wanauliza pesa za uwekezaji zipo wapi?

Viongozi wenyewe hawajui chochote yaani kama vichwa boksi. Utasikia mtu anasema sisi hatutaki kusikia chochote kuhusu pesa za uwekezaji timu ikisha shinda basi inatosha. Daah. yaani mashabiki wa Simba ni maboganzi kweli, na nina waambia hivi hamtamuona mtu uwanjani Simba ikicheza hizi mechi zilizobaki msimu huu.

Na ninaona Hemed Ally anaenda kuachiwa timu haitete jamani mtoto wa watu hatazeeka kabla ya siku zake. Hivi ni kweli hamjapata chochote msimu huu? Eti simba hatujamaliza, leta Mgunda leta Mgundaa.

Ni yule yule mangi shangali.👑 ni yangu naitaka mwaka huu.
 
Natumaini wazima..

Najikita kwenye uzi nikiwa nimechunguza na nikagundua ndani pa simba kuna moto unawaka taratibu siku huu moto utakuja kulipuka paaaaah..

Viongozi na mashabiki watakimbiana,
Moo atajiuzulu.
Kibaraka wake atakimbia timu..

Kuna laana inawatafuna simba chini kwa chini,tena ni liana mbaya wanatakiwa watafute msamaha kwa MUNGU.

KWANZA NIELEWEKE HAPA:=
moja:-kumdharau haji manara nkumuita alibino..
Hakuna kitu kinachoumiza maishani mwa binadamu kama kumdharau mtu ambaye aliwapambania kwa kila hari,jamaa ndo alizuia mishale yote iliyotoka kwa wapidhani kwenda kwa viongozi na timu kiujumla..
Jamaa alikubali kufanya kazi kwa mshahara mdogo,pia alitumia pesa zake kusafiri pale tlmu inapoenda kucheza mbali na dar.
Bila kujali yote aliyowafanyia mka mshutumu kwa mambo ya uongo na upuuzi wa viongozi wenu.
Jamaa alikuwa anajua mambo mengi ya ndani kabisa,ambayo viongozi walikuwa wanaifanyia club.
NOTE:- SIMBA MKITAKA KUFANIKIWA MUOMBENI MANARA MSAMAHA AU MRUDISHENI KWENYE CLUB.
MUNGU daima huwaga na watu waliona mlemavu,na huwasaidia kupigana vita zao.

ZAB 35:1......
Ee Bwana utete nao wanaoteta nami,upigane nao wanaopigana nami.
Kwa mtu aliyeelewa hiyo mistari happ juu tupo pamoja.

Pili:-mstaafu CEO WA SIMBA BARBARA GONZALEZ.
Kama kuna vitu vya ovyo walichokifanya simba ni kuachana na Barbara yani ni upuuzi wa ngazi ya vyuo vikuu.
Aisee yule dada popote alipo MUNGU hamnyohoshee safari nyeupe ya maisha yake.
Dada aliwakaba viongozi wa simba kindaki ndaki,jamaa hawakupumua kabisa pesa za upigaji walikosa kabisa,timu ilisimama vyema kila kiongozi alifanya kazi safi tena kwa ustadi wa hali ya juu.
Sisi yanga tulimtamani kuwa naye sana..
Daah viongozi wa tanzania wakamuanzishia bifu,na atimae akahamua kusepa zake.
Kweli sikio la kufa halisikii dawa..
Simba humrudisheni huyu dada upesi iwezekanavyo..

Tatu:-kumdhihaki MUNGU kwa wasanii wa simba na kuingia ndani ya jeneza..
View attachment 2614550

Katika mambo yote mabaya hapa dunia ni KUMDHIHAKI MUNGU ALIYEUMBA KIFO,yani pale tundamani kamuonyesha MUNGU KUWA naingia ndani ya jeneza na hakuna jambo lolote litakalo tokea,
Gal 6:7-8
Msidanganyike,MUNGU hadhihakiwi;
Kwa kuwa chochote apandacho mtu,ndicho atakachovuna;
Maana yeye apandaye kwa mwili wake;katika mwili wake atavuna uharibifu;bali yeye apandaye kwa ROHO ,katika ROHO atavuna uzima wa mi lele.

Na hitimisha kwa kusema ..
Uchaguzi wa simba ulijaa hila sana.
Hivi kwa timu kubwa kama simba kumleta sinza manzoki kwenye uchaguzi wenu ilikuwa inamaanisha nini??
Hii inaonyesha huyo CEO wenu mlimchagua mmemchagua kwa ajili ya kuifunga yanga tuu maana msimu huu hamjaambulia chochote inasikitisha sana.
Mtu mwenyewe mliyemleta kwenye uchaguzi wenu hata kumsajili hamjamsajili daah kweli unaviongozi wa ovyo sana.

Huyo mnaye muita muwekezaji wenu;- Moo makorokoro
Anapata faida kubwa kuliko timu yenyewe,mpaka leo watu wanauliza pesa za uwekezaji zipo wapi??
Viongozi wenyewe hawajui chochote yani kama vichwa boksi.
Utasikia mtu anasema sisi hatutaki kusikia chochote kuhusu pesa za uwekezaji timu ikisha shinda basi inatosha..
Daah yani mashabiki wa simba ni maboganzi kweli,na nina waambia hivi hamtamuona mtu uwanjani simba ikicheza hizi mechi zilizobaki msimu huu;
Na ninaona hemed ally anaenda kuachiwa timu haitete jamani mtoto wa watu hatazeeka kabla ya siku zake.
Hivi ni kweli hamjapata chochote msimu huuu?? Eti simba hatujamaliza,leta mgunda leta mgundaa.
Ni yule yule mangi shangali.
ni yangu naitaka mwaka huu.
HUNA AKILI.
 
Sasa Simba asipochukua kombe inanipunguzia nini mimi mwananchi wa huku kakonko? Yaani niteseke eti kisa simba kakosa ubingwa?
 
Back
Top Bottom