Timu ya Marumo kutoka A. Kusini imewasili Asubui ya leo, na wamelikataa gari waliloandaliwa na wenyeji wao Yanga.
Ikumbukwe siku chache mwenyej kapigwa faini kwa kosa la kupulizia sumu kweny gari...
Wakuu sitaki hata salamu, Kwa Hali ya mambo ilipofikia ni wazi kuwa ili Simba isonge mbele ni lazima maamuzi magumu yafanyike.
Uamuzi wa kwanza ni mwekezaji wetu Mohamed Dewji anapaswa kukaa...
JINSI ambavyo maisha yanakwenda kasi. Niliwahi kusema mahala. Hatimaye tumefika Mei tukiwa na sakata la Fei Toto mkononi mwetu. Anaitwa mwanasoka lakini hachezi soka la ushindani tangu Desemba...
Nikiwa Kama shabiki mwandamizi wa Yanga sc ndani ya Jamii forum, naomba nichukue fursa/nafasi hii adhimu kuwa karibisha mashabiki wa Simba sc kuja kushuhudia yanga ikikata tiketi yake mapema...
Simple logic ni kuwa Watu wanasema Clatous Chama anacheza chini ya kiwango kwenye big games, niwaulize swali kuna mechi ambayo Simba wamecheza vizuri then Chama hajaperform? Timu kama imeshikwa...
Mwanachama Maarufu hapa JamiiForums anayeongoza kwa Kuchukiwa bila sababu yoyote ila amebarikiwa Vingi na Mwenyezi Mungu aitwae GENTAMYCINE akitoka BAN yake apewe Heshima yake ya Kipekee hapa...
Wiki hii ni wiki ya mashindano ya kimataifa kwa ngazi ya vilabu ikiwa ni hatua ya nusu fainali. Kama timu yako haijafanikiwa kufika hatua hii kwa msimu huu basi pole na kusubiria kujipanga kwa...
Naam kumekuwa na propaganda za hapa na pale, za chini chini na za juu juu, zikisambazwa na wanasimba Lia Lia.
Hiyo inatokana baada yakuona timu yao aka chuo Cha wastaafu Simba ikiipunga mkono wa...
Picha: Vinicius Junior
Picha: Ducapel Moloko
Turejee kwa Hawa wachezaji wawili ambao mmoja anatokea Kwa mabingwa wa ulaya Real Madrid na mwingine anatokea Kwa bingwa wa TAnzania Young African...
Kabla ya yote acha kwanza nitumie neno ili la kifaransa ambao moise katumbi alipenda kutumia kwa mazembe Yake
L’Imposible ce n’est pas à young africa
Young africa tous puisant
Na kuambia ivi...
Nayasubiri Maoni yenu ili niyawasilishe Kwake kupitia Demu wake wa Kitanzania anayempenda hakuna mfano aishiye Keko mita chache tu na Kiwanda cha Pombe Moja Kali ambayo Ukiinywa ni lazima Umkunjie...
Anasema CEO wa Simba, Imani Kajura;
"Timu yetu imeshatoa Bonus zaidi ya Billion 1.1 na kiasi kilichobaki ni milioni 20 pekee tena ni Bonus ya Ligi ya ndani, wewe vuta picha Klabu inalipa zaidi ya...
Desemba 17, 2021, Klabu ya Simba ilizindua kampeni ya kuchangia ujenzi wa uwanja wao uliopo Bunju, Dar es Salaam.
Malengo ni kujenga uwanja wenye uwezo wa kuingiza watazamaji zaidi ya 30,000...
Katika historia ya Uefa champion's league mechi mbili tofauti ambazo zilivunja mioyo ya watu ni fainali 1999 Manchester united vs Bayern na nusu fainali mwaka jana 2022 Man City vs Real Madrid...
Mimi ni shabiki wa Yanga (kiasi) ila kitendo cha huyu msemaji wa Yanga kutaka Jumatano kazi ndani ya ofisi za umma kuishia saa sita mchana siku ya Jumatano kwakuwa Yanga inacheza HAPANA.
Hata...
Mashabiki takribani 31,620 waliohudhuria mechi ya Ligi Kuu ya Soka ya Marekani na mamilioni zaidi duniani waliokuwa wakitazama “live” mechi ya Seattle Sounders dhidi ya Sporting Kansas City...
Ukiifunga timu mbovu na chovu hakuna cha kujisifu ila ukifungwa na timu chovu kama marumo kila mmoja atakushangaa!! Ni timu ya mkiani huko bondeni!!
TABLE DSTV PREMIERSHIP
#
Club
W
D
L
Goals...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.