Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Awali ilidaiwa kuwa mchakato wa nyota huyo wa Paris Saint-Germain, Lionel Messi (35) kusaini mkataba wa Pauni Milioni 522 (Tsh. Trilioni 1.5) umekamilika na anaweza kujiunga na Klabu ya Al-Hilal...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Bernard Morrisson BM3, the gifted one, King of Football ni mchezaji mwenye kasi/pace/speed na jitihada ya dhati ambayo Yanga ilikuwa inaikosa kwa muda mrefu,Benard Morrisson anajua kucheza kikubwa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Yanga baada ya kuonekana anaenda semi final simba wakatoka huko waliko wakasema washawahi cheza fainal ya Confederation Cup inachekeshesha sana. Hivi niulize nani anauzi au ana taarfa inayosema...
15 Reactions
40 Replies
3K Views
Binafsi Ligi ya Bongo ninaona ni ligi dhaifu, kwa mfano mpira anaoupiga Raja Casablanca , ukija kwenye ligi yao anashika nafasi ya Tano. Nini Tafsiri yake? Hapa kwetu Simba iwe mbovu vipi...
15 Reactions
25 Replies
3K Views
Salaam wakuu, hapa nataka mapendekezo ya wana michezo ni wachezaji gani SIMBA unahisi inawahitaji ili iwe bora zaidi msimu ujao, Binafsi napendekeza 1. Feisal Salum (feitoto) 2. Singano claude...
4 Reactions
65 Replies
9K Views
Unaweza kuwa na timu Bora lakini rekodi mbaya za Kocha dhidi ya timu pinzani zikakuangusha. Dylan Kerr hajawahi kuifunga Yanga SC. Msimu wa 2015/2016 akiwa Simba SC, Mchezo wa kwanza kafa 2-0...
2 Reactions
7 Replies
976 Views
Mayele ni mchezi mzuri sana ni mmoja wa wachezaji bora kabisa kuwahi kucheza ktk ligi yetu, katika top 3 ya washambuliaji bora zaidi kutoka nje ya nchi mayele ni mmoja wapo. Kwa namna anavyocheza...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Timu inamilikiwa na anayesifiwa Tajiri Afrika halafu ndani yake kuna Uswahili Uliotukuka huku hata nae Tajiri akiwa ni Mswahili hivyo hivyo. Timu inamilikiwa na Tajiri wa Kawaida tu GSM huku...
38 Reactions
67 Replies
5K Views
Nashindwa kuelewaa kitu kimoja yanga akicheza na tp mazembe anasemwa sana Simba, Yanga akicheza na malumo anasema simba sijaelewa kwani simba ndo anashiriki hayo mashindano? Sijapendaaa✅✅
0 Reactions
8 Replies
704 Views
Yaani dakika ya 11 kashapigwa mbili za chap. Iko wapi heshima ya nusu fainali jamani? Hawa jamaa wamepenya vipi mpaka wakafika nusu? Nawachukulia kama marumo gallants ya ulaya
10 Reactions
52 Replies
3K Views
Maana si kwa pira lile tulilopigiwa, tunaamini kabisa kule south tunaenda kukamilisha ratiba tu. Kinachokwenda kuiua Yanga kule south ni hivi hapa chini... 1. Game plan yao, ukiwaangalia vizuri...
2 Reactions
45 Replies
3K Views
Huu ni ukweli Tanzania Hakuna timu ambayo inaweza kuleta kombe lolote la africa zaidi ya yanga Yanga ndo timu kubwa Tanzania. Kama real madrid alivyo timu kubwa Spain Na wengine wengi Apa na...
9 Reactions
50 Replies
4K Views
Kocha mkuu wa club kubwa Tanzania(Simba SC) ndugu Robertinho, amesema kikosi kiko tayari kuikabili Ruvu Shooting ya Pwani. Akizungumza na Raia Mwema amesema wanatarajia kushinda kwa idadi kubwa ya...
0 Reactions
0 Replies
474 Views
Kuchomekea shati au tu kochomekea tu ni ishara ya udhanifu na heshima duniani kote. Hilo linafahamika wazi. Ukiangalia wachezaji wa mpira kabla 2005 kurudi chini walikuwa na heshima, dhanifu sana...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Nadhani kwa wakati huu kuliko kilabu ya Simba kukaa tu bila any specific mission au kazi maalum (uzururaji) ingeweza kusaidia nchi katika kutoa maoni na kuhamasisha wananchi kuhusu katiba mpya...
1 Reactions
1 Replies
349 Views
SHIRIKISHO la Riadha Tanzania (RT), limetangaza Kamati mbalimbali kwa lengo la kuboresha utendaji wa shirikisho hilo. Kamati hizo zimetangazwa na Rais wa RT, Silas Isangi, mbele ya waandishi wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ameandika Ahmed Ally === Mara kadhaa utasikia shabiki anasema sisi tunaumia kuliko Wacheza ji au Viongozi. Ndugu zangu ilimradi sote tuna damu ya Simba basi wote tunapitia maumivu, kinachotokea...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Ukipanda bangi siku zote usitegemee kuvuna Mahindi na ndivyo ilivyo kwenye maisha, ukichezea maisha ya ujana usitegemee kufanikiwa uzeeni. Kwenye mpira pia iko ivyo, Simba wamekuwa wakiishia robo...
1 Reactions
3 Replies
652 Views
SIMBA kwenye misimu tano ya ubora wake ameshindwa kupasua ukuta wa nusu fainali Afrika. YANGA msimu wa pili wa ubora wake yupo Nusu fainali ya michuano ya klabu barani Afrika. The sleeping...
1 Reactions
6 Replies
531 Views
Ukiwa tayari nikufanyie hii Kazi Tukuka nenda Ofisi za JamiiForums mtafute Kaka yangu na Mtani wangu mkubwa wa Kihaya JamiiForums Founder Maxence Melo mkabidhi huo Mzigo nitaukuta Kwake...
10 Reactions
41 Replies
4K Views
Back
Top Bottom