Kilichotokeq znz aman stadium hakuna tofauti na mechi ya simba na dodoma
Baada ya kuona miminiko ya mfululizo kama mabomu ya iran yanga tuliamua kukaza kukomaa nyuma wote kama dodoma
Baada ya...
Mabingwa watetezi Young Africans (Yanga SC) watashuka dimbani Machi 5, 2026 katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Singida Black Stars bila wachezaji Watatu muhimu, jambo linalopelekea...
Tasnia ya michezo ya bahati nasibu imekuwa ikikuwa kwa kasi, japo hatujafikia zilipo nchi Kama Kenya , Uganda, South Africa, Ghana na , Nigeria lakini sio haba, tumekusanya zaidi ya bilion 200...
Naaam hayawi hayawi Sasa yamekua !! Asiyekia na mwana basi aeleke jiwe " hayo Si maneno yangu NALIA NGWENA aka Under cover Bali ni maneno ya Wahenga, na sipo hapa kutabili kama shekhe yahya Bali...
Ni mwendelezo ligi kuu ya NBC PL LEAGUE, YANGA ikimkalibisha mnyama mkali wa mwituni SSC katika uwanja wa AMAAN COMPLEX, Zanzibar saa 08:15 usiku wa leo.
Ni mchezo wa aina yake kwani...
Nimefuatilia mechi kadhaa hasa msimu huu2025/26 na msimu uliopita wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara, kumekuwa na ongezeko la mechi zinazochezwa usiku ili kuruhusu urushaji wa moja kwa moja kupitia...
Vigogo wa soka la Tanzania, Simba SC na Yanga SC wanatarajiwa kushuka dimbani Machi 1, 2026 katika Uwanja wa Amaan Complex kuumana katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambapo kuelekea mechi...
Mwamuzi wa dabi ya tarehe 01 March ni Nassoro Mwinchui ingawa wote tunajua kuwa inaipenda sana Coastal Union na Simba ss na alishapewa adhabu mara nyingi kwa kuzipa upendeleo Simba na Coasta kwa...
Kwanini siku ya jana na leo kumekuwa na derby nyingi sana kwa mfano derby ya
Yanga vs simba
Asernal vs chelsea
Celtic vs range
KAiser vs orlando
Marseille vs lyon
Bayern vs Dortmund
Kwanin siku...
Hii ni kauli ya Karia,kwahiyo siku hizi masuala ya mpira yanapelekwa mahakamani? Wakati jamaa fulani walikuwa wanapeleka kesi mahakami,si mlipiga kelele kuwa masuala ya mpira hayapelekwi...
Taarifa za ndani zinaeleza kuwa benchi la ufundi la Simba chini ya kocha mkuu Steven Barker limefanya mabadiliko kwenye safu ya uongozi wa kikosi Beki imara Rushine De Reuck amechaguliwa kuwa...
Gary Neville has urged Manchester United not to appoint Michael Carrick as their permanent manager at the end of this season, insisting that they should go for the candidate with the best C.V...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.