The national heavy weight end of the year clash

The national heavy weight end of the year clash

hamis77

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
18,672
Reaction score
27,610
πŸ”₯πŸ”₯ℍ𝕆𝕋 π”Όπ•β„‚π•ƒπ•Œπ•Šπ•€π•π”Ό πŸ”₯πŸ”₯

NTYUKA DRAFT CLUB


Present to you


THE NATIONAL HEAVYWEIGHT END OF THE YEAR CHAMPIONSHIP CLASH

(Tunafunga mwaka kwa mpambano wa kiwango cha Kitaifa)


TIMU: DOGO SISCO (Fantastic Sound) vs SIMBA DOM (MVP)



MDHAMINI: BROTHER MWANDOBA & KAMANDA HAMIMU

TROPHY: 350,000Tshs (Winner 300,000Tshs & Loser 50,000Tshs)

BONUS kila goli litanunuliwa kwa 5,000Tshs


MRATIBU: SERENGEKETE

PHOTOGRAPHER: SERENGEKETE

KAMISAA: KING OF WESTERN [WEST]

STYLE: ( Omari John 14 + Tege 10)


UWANJA: DANNY ARENA 🏟️ ( Land of stones) - NTYUKA - DODOMA CITY COUNCIL


Date/Time:
Friday 26th December 2025 Saa 9:00 Alasiri


Noted
Hakutakuwa na mshindi wa pili ila atakayefungwa atapewa 50k kama nauli na ikiwa mechi itaishaa sare wachezaji watapewa 150k kila mmoja kama kifuta jasho


Wazee wazee SIMBA DOM amedhamiria kuchukua Ufalme wa mabao nchini Tanzania maana mpaka sasa kwa mwaka huu 2025 DOGO SISCO ndio mwenye taji hilo na DOGO SISCO ndio level au cheo cha mwisho cha draft nchini Tanzania kwa mwaka huu 2025 watu wengi mwaka huu wamejaribu kufanya mapinduzi dhidi ya utawala wa draft wa DOGO SISCO ila DOGO SISCO alikuwa imara zaidi na kuweza kuyashinda mapinduzi yote dhidi yake

Mwaka huu 2025 SIMBA DOM amejipanga kisawasawa ili aweze kuchukua ufalme wa ndaft Tanzania ikumbukwe mwaka jana 2024 ilibaki hatua chache sana SIMBA DOM atwae taji hilo pale MOROGORO ila DOGO SISCO aliweza kudhibiti mapinduzi hayo


Mashabiki wote mnashauriwa mje na daftari, peni, penseli na kila kitu cha darasani mshuhudie calculated moves, illustrated sketches, miseto, stamina na theories zote za draft



Karibuni NTYUKA- DODOMA kuja kupata taaluma ya mabao siku ya BOXING DAY 2025 πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯



GREATLY Sponsored by BROTHER MWANDOBA & KAMANDA HAMIMU
 
Kuna uwezekano wa kuangalia mechi online
 
BREAKING NEWS...........BREAKING NEWS

πŸπŸπŸπŸπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

TAARIFA KWA UMMA

Leo ndo leo asemae kesho ni muongo leo ndo siku Ile maalumu kwa watanzania game ilio kuwa ikisubiliwa kwa hamu kubwa Jijini Dodoma na Tanzania nzima kwa ujumla kati ya miamba hii miwili kati ya SIMBA DOM MVP ukipenda the lion 🦁 Mzee wa tundu wayaaaaaaaaa uku DOGO SISCO fantastic saund komando kipensi mjukuu ukipenda jiniiiii la majinii wazee hahika Dodoma tunafunga mwaka kibabe.

πŸ‘‰πŸ‘‰Game itapigwa NTYUKA DRAFT CLUB ukumbini

πŸ‘‰πŸ‘‰ wachezaji wawili watakuwa seemu yao pamoja na viongozi wasimamizi wa mchezo wa tatu Kamisaa inster liveπŸ”₯na photography picha kwa step bila kuaacha step ata Moja mwanzo wa tukio hadi mwisho wa tukio.

πŸ‘‰πŸ‘‰ washabiki watakaa kwenye viti maalumu wakifatilia kwenye BIG SCREENπŸ”₯ uku mkishuudia mtanange wa kukatana shoka na viti vitakuwa aina tatu πŸ‘‰blue bahali mixer na πŸ‘‰VIP πŸ‘‰ na VVIP

πŸ‘‰πŸ‘‰kitengo Cha Kamisaa .. WESTI WESTERN

πŸ‘‰πŸ‘‰Kitengo Cha photography HD ...Serengekete mwalimu ,,Sito acha ata step Moja Mwanzo wa tukio hadi mwisho wa tukio

kitengo Cha Inster liveπŸ”΄ Obadia care mkuu wa oparetion


πŸ‘‰πŸ‘‰Mda wa match Saa 15:00 hours


πŸ‘‰Wapi..DODOMA NTYUKA DRAFT CLUB ,,,UKUMBINI

kama upo Dodoma na unataka ufike Ntyuka kushuudia huu mtanange live basi km upo mjini chukua boda boda mwambie akupeleke general hospital ukifika ulizia bajaji zinazo enda NTYUKA MADUKANI au Boda boda zinazo enda NTYUKA madukani garama ya nauli kutoka mjini hadi ntyuka MADUKANI ni 1000 elfu Moja tu ukifika basi utatuona km unasalio piga simu hii namba 0625 867 484 yass 0712 468 822 Serengekete mwalimu au piga namba hii 0619 118 272 west

NOTE.
kila goal kwa pande zote mbili litanunuliwa kwa 5000 elfu tano ila nieleweke apa GD goal difference km 5_4 basi GD apo ni 1,mtu anaelfu 5000 yake 5_0 apo mtu ana 25000 yake nazani nimeeleweka apo sponsor anae nunua GD kwa pande zote mbili ni kamanda HAMIMU ukipenda GSM

By mratibu ap wa Mkoa Makao makuu Dodoma
Serengekete
Nikiwa na jopo langu la usimamizi Kamisaa bora wa mkoa West na Obadia care.

Kalibuni DODOMA NTYUKA MADUKANI muenjoy game.

Kauli mbiu tunafunga mwaka kibabe.
 
Kuna uwezekano wa kuangalia mechi online
OFFICIAL YOUTUBE CHANNEL TANZANIA DRAFT ALL STAR nae amesha seti mitambo tayari bila kusaau channel ya OFFICIAL YOUTUBE CHANNEL DRAFT SERENGEKETE TZ pamoja na channel ya YOUTUBE OFFICIAL TANZANIA DRAFT GAME COLLEGE πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
hamis77
Watu wanacheza michezo 24 goli 1. Inatuchosha wapenzi wa drafti. Ni wakati wa kubadilika. Wamekariri sana moves.

Kimataifa kwenye draft kuna aina mbili ama tatu za kuanza. Kuna kitu kinaitwa Go as you please(cheza unavyopenda). Yaani hapa mtu anaanza kete yoyote na mwingine anajibu yoyote. Wachezaji wako huru. Hii ndiyo tunacheza sana. OJ na Tege zimeenda tu hatua moja kunogesha.

Kuna nyingine ni two moves opening hapa kete mbili za kwanza zinakuwa dictated zitakuwaje. Kete mbili za kwanza zinapangwa ndiyo watu wanaanza kucheza.

Kuna 3 moves opening. Hapa kete tatu za kwanza zinapangwa ndiyo watu wanaanza kucheza.
Kwenye 2 moves na 3 moves kamisaa wa mchezo ndiye anaandaa hizo moves zitakuwaje katika ile michezo saba ya kuanza.

Kwa kawaida kila chumba cha drafti kina namba. So moves zinaitwa kwa namba. Mfano 9-14, 22-18, 5-9. Hii inakuwa mabano ya kawaida.
Michezo ya hivi inawapima hasa wachezaji ufundi wa hesabu na siyo kukariri. Pia kunakuwa na michezo mingi ya kucheza. Kwenye major tu mnaweza kucheza mamia ya michezo mkipiga 3 moves opening.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom