fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 6,581 Reaction score 9,085 Dec 28, 2025 #1 Kila alichomjaalia Mola kakitoa kwa nchi yake.Hatumdai kitu,japo hatujawahi kuwa mabingwa wa Afrika.Asante sana Samata,sasa pumzika ni muda wa vijana
Kila alichomjaalia Mola kakitoa kwa nchi yake.Hatumdai kitu,japo hatujawahi kuwa mabingwa wa Afrika.Asante sana Samata,sasa pumzika ni muda wa vijana
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,909 Reaction score 193,846 Dec 28, 2025 #2 Kila la kheri zake... Cc: Mahondaw
Satan JF-Expert Member Joined Aug 9, 2017 Posts 2,153 Reaction score 3,515 Dec 28, 2025 #3 Chikola angeaminiwa na kupewa nafasi angeonyesha kitu. Ifikie hatua haya mambo ya kuamini bila huyu au yule timu haiwezi kusonga, tuyaache.
Chikola angeaminiwa na kupewa nafasi angeonyesha kitu. Ifikie hatua haya mambo ya kuamini bila huyu au yule timu haiwezi kusonga, tuyaache.