Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wataelewa shoooooo maana kumewaka kambini
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Klabu ya horoya iliyopigwa 7 bila msimu uliopita, tp mazembe iliyopongwa nje ndani na yanga pamoja na Simba iliyoshindwa kuchukua kombe lolote mbele ya YANGA Zitaanzia raundi ya pili katika...
17 Reactions
62 Replies
4K Views
Baada ya kufika atambulishwa mbele ya wachezaji wenzake wageni pamoja na wale ambao aliwaacha akiondoka mfano Boko, Chama, Kapombe, Tshabalala, na wengine wengi. Ilikuwa furaha kwao kukutana nao...
7 Reactions
12 Replies
2K Views
KIVUMBI NA JASHO: DJUMA, BANGALA Djuma Shaban, Lomalisa Mutambala na kiraka Yannick Bangala juzi kwa nyakati tofauti wamegonga mlango wa kutaka kuondoka na kwenye vikao vyao kulihusisha...
8 Reactions
62 Replies
9K Views
Messi better than Ronaldo - Cole Chelsea's Joe Cole says Barcelona's Lionel Messi is ahead of Manchester United star Cristiano Ronaldo as the best player in the world. Source: BBC...
1 Reactions
795 Replies
189K Views
Droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika imepangwa, Simba itaanzia Raundi ya Pili kwa kucheza na mshindi wa mechi kati ya Power Dynamos (Zambia) dhidi ya African Stars (Namibia) Yanga itaanzia Raundi ya...
9 Reactions
121 Replies
18K Views
Kwa ulivyowacheki wapinzani wa Yanga katika hatua ya awali na wa Simba katika hatua ya pili ni nani kupenya kirahisi? Yanga (Tanzania) vs ASAS FC (Djibouti) Mshindi hapo kukutana na mmoja kati ya...
0 Reactions
7 Replies
926 Views
Kwanza niweke wazi Mimi si mpenzi wa kuhudhuria mikusanyiko mikubwa ya aina yeyote ile, iwe ya vyama au kwenda uwanjani kuangalia mpira, huwa naenjoy kuangalia haya matukio Nyumbani au nikiwa Pub...
14 Reactions
64 Replies
7K Views
Picha kamili tumeiona leo kwenye mechi dhidi ya kaizer chiefs, licha ya muda wa maandalizi kuwa mfupi na wachezaji wengine kuchelewa kuingia kambini bado wameonyesha ni timu imara na ya moto...
19 Reactions
71 Replies
8K Views
Sahau kuhusu ubishi wa events za Wiki ya mwanachi na Simba day, tukirudi kwenye uhalisia klabu zetu ni lazima ziendelee kutafuta zaidi vyanzo vya mapato. Yanga made a right call to abandon Visit...
2 Reactions
7 Replies
843 Views
Mwaka 1999 timu ya Majimaji ya songea ilishiriki klabu bingwa na bila kuanzia raundi ya awali, walianzia mmoja kwa moja raundi ya kwanzakwa kucheza na Al Ahly kama ambavyo simba wataanza mwaka...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Kuelekea kuanza kwa Mashindano mbalimbali yanayoratibiwa na Shirikisho la Soka Afrika 'CAF' tuzo ya Kiatu cha Goli Bora la CAF upande wa wanaume unafikiri itakwenda kwa mchezaji gani?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa AFP, Klabu ya Paris Saint-German imeruhusu Al Hilal ifanye mazungumzo na mshambuliaji Kylian Mbappe baada ya kuweka mezani dau hilo ikiwa ni siku chache zimepita tangu itume barua ya...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Up until 2021 here's how I would rank the jerseys of our African teams; Nigeria: The Nigerian national team's jersey has often been lauded for its unique and vibrant designs. The 2018 World Cup...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Historia inatuambia, imekua ni changamoto kubwa sana kupima ubora wa golikipa, kuliko nafasi yeyote uwanjani kutokana na sababu kadha wa kadha(ambazo nitazieleza japo kidogo hapo mbeleni)...
8 Reactions
19 Replies
2K Views
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amekutana na Marais wa Mashirikisho ya Mpira wa Miguu ya nchi wanachama wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la nchi za Afrika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nianze kutoka credit kwa wadau wasoka, mpira wa miguu ni industry pekee yenye muamko na ushawishi mkubwa kwa jamii, nchini Tanzania. Lakini, kama hujaliona hili, basi angalia nyanja ya siasa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari ya mjini Sasa hivi ni Yanga kuifunga Kaiza chiefs, Skudu na Maxi. Hii imesababisha uzinduzi wa Jezi mpya za Simba uwe buusheti!!!
9 Reactions
65 Replies
5K Views
Kipa huyu mwenye umri wa miaka 29, jina lake ni Jefferson Luis Szerban de Oliveira Junior ana urefu wa mita 1.9 na kabla ya kujiunga na Simba alikuwa akiitumikia Resende FC ambayo inashiriki Ligi...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Tamasha bora la mpira wa miguu kuelekea msimu mpya linapaswa kuwa tukio la kusisimua na la kuvutia kwa mashabiki wa mpira wa miguu na ambao si mashabiki wa mpira wa Miguu kuvutika na kuwa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom