Ni kweli kuwa Simba na Yanga njia nyeupe makundi CAF?

Soloma TV Online

Senior Member
Jun 26, 2023
104
291
Kwa ulivyowacheki wapinzani wa Yanga katika hatua ya awali na wa Simba katika hatua ya pili ni nani kupenya kirahisi?

Yanga (Tanzania) vs ASAS FC (Djibouti)
Mshindi hapo kukutana na mmoja kati ya hawa
AS Otoho vs Al Merrikh

Majirani zao Simba wao katika hatua ya pili watamsubiri mshindi kati ya hawa Power Dynamos (Zambia) vs African Stars (Namibia)

FUNGUKA MDAU JF

'
IMG_20230726_041959_999.jpg
 
'View attachment 2699270
Simba ilishatolewa round ya kwanza na Jwaneng Galaxy, na kuhusu Power Dynamo nadhani wote tunawajuwa Wazambia, kimpira hatuwawezi bali kwa sasa tunawazidi uwekezaji kwenye soka.

Kwa Yanga round ya kwanza inapita, ila round ya Pili lazima ikaze kwenda makundi.

Lakini kwa uwekezaji wa Simba na Yanga natumaini timu zote mbili zinatinga kwenye makundi, shida yangu kwa Yanga Mzinze si mchezaji wa kumuamini kufunga magoli mechi kubwa, Yanga ipate mtu wa kucheka na nyavu akae na Musonda mambo safi, idara nyingine zote zimetimia.
 
umeongea sahihi
 
Kwa Simba sina shaka ni wazoefu na wana frofile kwenye hii michuano ya cafcl, hofu ni kwa Azam,Singida na Yanga wana zaidi ya miaka 25 izo timu azijawai kugusa makundi.
 
Back
Top Bottom