Ni suala la muda tu. Rais wa CAF bilionea Patrice Motsepe yupo kikaangoni baada ya kuhusishwa na ufisadi wa kutisha ndani ya CAF. Wafuatiliaji wa kiintelejensia waliotega mitambo yao ndani ya...
Nimehamisha 95000 kutoka wallet yangu ya premier bet toka leo usiku mda wa saa tisa lakin hadi sasa hela yangu haijafika kwenye account yangu ya m-pesa. Nikahamisha tena 5000 naenyewe bado...
Kombe la Dunia la FIFA 2026, mashindano makubwa ya kimataifa ya soka, yanaanza rasmi Juni 11, 2026 na kuleta pamoja timu bora za Taifa kutoka duniani kote. Kwa mara ya kwanza katika historia...
Straight to ostracize poor approach & strategies Plugged in the Team by this Rude boy, Arteta.
Game ya Jana anaanza na Forward wawili lakini primary approach ni kujilinda so Forward walikuwa wa...
Morocco imetawazwa kuwa mabingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika la 2025 baada ya uamuzi mzito siku ya Jumanne kueleza kuwa ushindi wa bao 1-0 wa Senegal kwenye fainali umebatilishwa.
Senegal...
Soka ni mchezo unaopendwa zaidi ulimwenguni, lakini je, kweli Afrika ina nafasi sawa katika uwanja huu wa kimataifa? Ukweli mchungu ni kwamba mpira wa miguu umetumiwa kama silaha ya kudhibiti bara...
Kimpira ni jambo la manufaa sana. Itapendeza siku moja uwanja wa Jamhuri uwe na hadhi ya CAF. Ila kitechnical ni sahihi viti vya uwanja wa umma kupelekwa uwanja binafsi?
====
Meneja wa Uwanja wa...
Klabu ya Simba imemuongezea mkataba wa miaka miwili mshambuliaji wake Elie Mpanzu ambao utafikia tamati msimu wa 2026/2027.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Simba leo, Jumatatu Machi 23, 2026...
Soka la bongo bana,Yanga imetangaza kumsajili Kelvin Patrick Yondani ,wakati Simba wakitangaza kumwongezea mkataba Kelvin Patrick Yondani toka mwaka jana 2011.Utata,kuna Kelvin Patrick Yondani...
Huwezi kutoka kwenu Mali kuja hapa kutukana watu na kukoromea marefa. Afungiwe haraka sana kuanzia mechi tano.
Mnasuburi nini mpaka muda huu? Kama hamna posho za kikao, semeni mimi nitawalipa
Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania( TFF) Wallance Karia ametoa mtazamo wake kuhusu kilichotokea kweny taarifa ya bodi ya ligii kuu kupitia kamati ya masaa 72 ya kusema goli lililofungwa...
Kenya ipo katika hatari kubwa ya kupoteza haki yake ya kuwa mwenyeji wa pamoja wa Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwaka 2027. Hali hii inatokana na ucheleweshaji wa malipo ya...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, ameagiza Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF) kuhakikisha ofisi ya Rais wa shirikisho hilo inakabidhiwa kwa Hasheem Thabeet...
Kodi lazima ilipwe na watu wote wa dini zote, makabila yote na hata mashabiki wa timu zote.
Inafahamika kuwa taifa la Tanzania limegawanyika kati ya wanaume na wanawake, wakristo na waislam na...
Mechi ya Simba dhidi ya Tabora United inachezwa uwanja wa General Isamuhyo
=====
Timu ya Simba imeichapa TRAUnited magoli 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Meja Jenerali...
Nimeona clip ya Kipa wa Yanga, Djigui Diarra akioneshea kidole cha kati cha mkono wake wa kushoto kuelekea kwa Waandishi wa Habari waliokuwa wakiwarekodi Wachezaji wa timu hiyo wakati wakielekea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.