Bila shaka Wanalunyasi mtakuwa mnatamani kupata kiongozi kijana ambaye ana maoni makubwa juu ya klabu yenu kama ambavyo Yanga wamewatesa misimu hii minne mfululizo baada ya Engineer Hersi Said...
Kero yangu ni Kiwanja cha mpira kinachojengwa Kisiwani Pemba, Mkoa wa Kaskazini, Wilaya ya wete, Shehia ya Pandani. Yaani Kiwanja kipya lakini kinawekwa Nyasi kongwe (zimetolewa kiwanja...
Timu vigogo barani Ulaya Arsenal, Real Madrid na Liverpool ni miongoni mwa klabu zilizojua hatima yao baada ya droo ya hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kupangwa Ijumaa.
Real Madrid...
Timu ya Taifa ya Tanzania 🇹🇿, Taifa Stars, inarejea dimbani leo katika mwendelezo wa FIFA Series 2026 baada ya kupoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Liechtenstein 🇱🇮.
Leo wanakutana na Macau 🇲🇴 katika...
Shabiki wa soka wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Michel Kuka Mboladinga, anayejulikana sana kama Lumumba Vea, amewaambia wafuasi wake kuwa hataweza kusafiri kwenda Mexico kuiunga mkono timu ya...
Jamaa anatangaza bolu dakika tano, dakika 40 anasimulia mambo ambayo hayana hata umuhimu, kipindi kinakuwa kimeisha anaboa sana.
“ametokea stade malieee akiwa MVP, akaenda kwenye kikosi cha kocha...
andiko hili limedadavuliwa kutoka kwenye andiko cha mchambuzi nguli wa michezo Tanzania ORUMA
Simba SC wanaandaa barua rasmi kwa TFF (Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania) kupinga uhalali wa...
Nina kijana wangu anapenda mambo ya mpira sasa nimeunganishwa na hii football academy ya Tigana Kawe Dar.Ila sikuwai kuisikia hapo mwanzo.
Kwa wazoefu Je n ya kuaminika?
Huyu kocha hana uwezo wowote n.a. alifeli vibaya Juventus
Haifahamiki anatuma fomesheni gani, Ni kocha duni Ambaye hawezi purukushani za EPL
Naihurumia sana Spurs
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema Tanzania imejipanga kikamilifu kuelekea mashindano ya AFCON 2027, akieleza kuwa si ushiriki tu bali pia itachukua ubingwa wa...
Wachezaji tisa wa Arsenal sasa wamejiondoa kwenye majukumu ya timu zao za taifa. Orodha hiyo inajumuisha William Saliba, Gabriel Magalhães, Leandro Trossard, Jurriën Timber, pamoja na Eberechi...
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF), limetoa orodha ya Waamuzi wa Afrika na Maafisa wa VAR waliochaguliwa kuchezesha Kombe la Dunia la FIFA 2026, huku maafisa kadhaa wenye uzoefu wakipata fursa...
Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, itashuka dimbani Machi 26, 2026 Saa 11:30 Jioni kuivaa Liechtenstein katika michuano ya FIFA Series inayoendelea Kigali, Rwanda ikiwa ni sehemu ya...
Licha ya Zanzibar (Tanzania) na Catalonia (Uhispania) kuomba sana uwana chama FIFA zimekataliwa kabisa.
Cha kushangaza FIFA imewapa membership Nothern Ireland, Wales, Scotland (UK), Greenland na...
Masaa 72 ya Ulaya na masaa 72 ya Tanzania ni tofauti kabisa. Think globally Act locally.
Masaa 72 ya kucheza baina ya mechi yamezingatia vitu mbalimbali ambavyo Tanzania havipo. Baadhi ya vitu...
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Véron Mosengo-Omba amejiuzulu wadhifa huo baada ya kuhudumu kwa zaidi ya miaka 30. Katika taarifa yake kwa umma amesema amechukua uamuzi...
Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe akizungumza na waandishi wa habari mjini Cairo, Misri Machi 29, 2026 amesema; "Mechi ya fainali Morocco kati ya Senegal na Morocco, si...
Kobe Bryant's NBA life, career in photos
1996
Bryant was a 17-year-old kid when he entered the NBA and had a childlike grin when the Lakers introduced him as the newest member of their...
Kwa mfano kwa Uingereza wasemaji wa mambo yote ya club zao za soka ni Mameneja , hawa ndio wanaofanya mikutano yote na Waandishi wa Habari kuhusu timu zao , Masuala yote ya mechi ikiwemo Ufundi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.