Yanga yatangaza kumsajili kevin yondan huku simba ikimuongezea mkataba kelvin yondani

tara

Senior Member
Jun 5, 2012
189
61
Soka la bongo bana,Yanga imetangaza kumsajili Kelvin Patrick Yondani ,wakati Simba wakitangaza kumwongezea mkataba Kelvin Patrick Yondani toka mwaka jana 2011.Utata,kuna Kelvin Patrick Yondani wawili?

source:CLOUDS FM RADIO

 
Simba mtulie kwanza ela ya Kumlipa hamna. Yanga 2012-2013 ni Kali sana.
1.Nizar Khalfan Kashamwaga wino.
2.Kelvin Yondani
3.Kocha Mfaransa muda wowote mtamsikia yupo Jangwani.
4.Wachezaji 4 kutoka Congo watamwaga wino Jangwani(beki wa kati,Kiungo,na washambuliaji)
5.MANJI amesharudi Kuokoa Jahazi
6.
7.
 
Yanga ni Umoja wa Mataifa
Yondani ni wajangwani tuna pesa balaa

Yondani wa Yanga ana umri wa miaka 17, ambaye kisheria ni minor na hawezi kuingia mkataba. Yondani wa Simba ana miaka 27.
Mauza uza ya soka yetu yanachosha akili.
 
Huo ndo ubovu wa uongozi wa Nchunga,ametapeliwa na ***** kama yondan,darasa la saba!
Hata hivyo huyo mchezaji atanyea debe kwa utapeli!
 
Yondan+akisaini+Yanga+leo.jpg
 
Us
Maisha yanaenda kasi sana kutoka pesa balaa mpaka njaa balaa
Usishangae, hata Simba baada ya muda so mrefu njaa yaweza kurejea, tena ile njaa ya hatari, kwa sababu siioni mipango yoyote endelevu ya kuimarisha uchumi hapo Simbafc zaidi ya Moo kutoa pesa zake mfukoni. Siku Bi 20 zikimslizika, na njaa inaanza kutamalaki Msimbazi, itakuwa kama Africa Lyoni au Singida united. Povu ruksa.
 
Back
Top Bottom