Full TIME | Tanzania 0-1 Liechtenstein | International Friendly | Kigali Pelé Stadium

Full TIME | Tanzania 0-1 Liechtenstein | International Friendly | Kigali Pelé Stadium

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,119
Reaction score
17,383
Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, itashuka dimbani Machi 26, 2026 Saa 11:30 Jioni kuivaa Liechtenstein katika michuano ya FIFA Series inayoendelea Kigali, Rwanda ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea fainali za AFCON mwakani.

1774504965814.png
Mchezo huo ni moja kati ya miwili ya mashindano ya timu nne yanayozishirikisha pia Aruba na Macau ambapo timu hizo zinakutana katika eneo moja kwa ajili ya michezo ya kirafiki wakati wa dirisha la kimataifa.

Michuano ya FIFA Series ilianzishwa na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kwa Tanzania ilifungwa bao 1-0 na Bulgaria kwenye mchezo wa kwanza kabla ya kushinda bao 3-0 dhidi ya Mongolia mchezo uliofuata.

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Miguel Gamondi michezo hiyo ni sehemu ya maandalizi ya muda mrefu kuelekea AFCON ijayo. Katika mashindano yaliyo pita, Tanzania ilifika hatua ya mtoano kabla ya kuondolewa na Morocco.

Updatess...

Mechi bado ipo live Dakika, 33 bado mechi 0-0

Dakika 40, si Stars wala Liechtenstein alipata goli

Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimekamilika
 
Yani liechtestain ka kingdom kadogo ulaya hata Wilaya ya ilala ni kubwa. Timu yake dhaifu hovyo na uchwara. Mikubwa jinga taifa stars in akubali kufungwa. Imebaki kula kodi zetu tu bure.

Ma umbwaa nyie.

Shame shame shame.

Rudisheni hela yangu niliyobet.

adriz de mbusii
 
Ally Hassain Mwinyi aliwahi kutoa laana kuihusu timu hii ya taifa. RIEP Mwinyi.
 
Back
Top Bottom