Ukarabati wa Awamu ya Kwanza unaoendelea katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam umefikia asilimia 95 na asilimia tano zilizobaki zinatarajiwa kukamilika ndani ya siku tano kuanzia...
Walioshika ( Walioko ) nafasi za Pili na hasa yule aliye nafasi ya Tatu hapo ndipo mahala pake na huenda akadumu au akapambana na wa Juu yake kuwania nani awe wa Pili na wa Tatu huku Mshamba...
Wikiendi hii timu ya mpira wa miguu ya Medeama ya nchini Ghana ilimenyana na timu ya mpira wa miguu ya Bechem
Mpaka dakika tisini zinakwishwa matokeo yalikuwa Bechem 1-2 Medeama
Chakufurahisha...
Kumbe jana watu wametetema huko kwa farao,
Ndugu muhasibu daraja la kwanza ebu njoo huku utupe maoni Yako Mayele ni liability au ni asset
OKW BOBAN SUNZU
Haya wadau, hivi karibuni kupitia usajili wa dirisha dogo tumeshuhudia timu za Simba na Yanga zikifanya usajili wa kuboresha timu zao.
Hapa nawaleta kwenu Baleke mchezaji wa Simba na Musonda wa...
Hii tabia ya kubagua Mikoa ya Mbeya na Mwanza kwenye mambo ya Maendeleo naona imeanza kukita mizizi.
Wakati mikoa mingine ikipendelewa sie Mwanza na Mbeya tumekuwa wahanga wa kutengwa na...
GOLI KIPA ILI AWEZE KUWA BORA ANAHITAJI KUWA NA VITU VIFUATAVYO⚽
.
1. Uokoaji: Hii inahusu jinsi golikipa anavyoweza kuokoa michomo inayoelekezwa kwenye lango lake. Uokoaji mzuri unahitaji muda wa...
Kwa 95% Kiongozi wa Azam FC ( ambaye Watu wa Mpira Tanzania tunajua ni mwana Yanga SC lia lia ) CEO Popat ndiyo huwa Silaha Kuu ya Yanga SC kuifunga Azam FC muda wowote na inavyotaka.
Na hiyo 5%...
Kama ni uganga basi huyu mwamba mganga wake hatari, ukitizama work rate yake, unyumbulifu yaani jamaa anaonekana kachoka haswaa, one vs one battle anashindwa sana.
Kila mwenye macho anaona mwenyewe.
Swali # 1.
Je, Yanga SC ingekuwa inaongoza Ligi Kuu ya NBC mpaka sasa ( yaani leo ) mngekuwa Wanafiki hivi na Kutumia muda mrefu Kumjadili Mwamuzi wa leo kuwa Kaipendelea Simba SC dhidi ya...
1. Simba imeshinda lakini bado Chemistry haijapatikana
2.Che Malone Fondoh ni ukuta wa Yericko kweli sio masihara
3.Kibu Dennis amebadilika sana, hakuna mchezaji wa kumweka benchi awe wa
kigeni au...
Akizungumza na Mwanaspoti jana, kocha Robertinho alisema ameionah ali ya mashabiki wa klabu hiyok utomkubali Bocco, ila kwam tazamo wake bado ni
mshambuliaji bora anayeweza
kucheza kwa maelekezo...
Kama una moyo mwepesi huwezi kuangalia show yao mpaka mwisho, kama kuna talent za kutisha basi hii talent ya hawa vijana ni ni ya kutisha mno.
Wanaenda kuweka historia Duniani, kama Dunia...
Monday’s eight-game slate of the 2023 FIBA World Cup provided yet another impressive showing from players and teams looking to advance on the international stage. Take a closer look at some of the...
Baada ya mbinu ya kutumia wachezaji waliocheza Ayub FC na kuhamia Arizeti Fc kushindikana Sasa kwa taarifa nilizozipata hivi punde shilingi imegeuka kwa mpuliza filimbi na washika kibendera ndiyo...
Kuelekea mechi za Simba na Al ahly super league na Yanga na Al ahly CafCl.. Nafahamu washawai kupigwa Moja bila na Yanga. Goli la Canavaro sasa nawauliza watunza kumbukumbu hivi washawai kuifunga...
Last season Ronaldo asked Bayern Munich for a vacancy, but sporting director Oliver Kahn refused him.
[emoji828] Today, unemployed Oliver Kahn went to Arabia directly to Ronaldo's club, Al Nassr...
Msije kusema kuwa hatujawaambia, Ayubu Fc walishachungulia na kuona kuwa hii mechi ni ngumu.
Hotelini walipofikia hapakaliki na inasemekana wamewatafuta wachezaji wao walioichezea Ayub Fc na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.