Takwimu: Baleke vs Musonda

BRN

JF-Expert Member
Nov 18, 2013
4,229
5,266
Haya wadau, hivi karibuni kupitia usajili wa dirisha dogo tumeshuhudia timu za Simba na Yanga zikifanya usajili wa kuboresha timu zao.

Hapa nawaleta kwenu Baleke mchezaji wa Simba na Musonda wa Yanga ili tuwafananishe kwa takwimu na namna wanavyozutumikia timu zao.

Yalisemwa mengi na wahasimu wa timu hizi mbili kuhusu sajili za wachezaji hawa lakini wataalamu walisema mpira ni mchezo wa wazi na tumeshaanza kuwaona kwani kila mmoja ameshatumikia timu yake kwenye mechi moja ya NBC Premier League.

Je, yale majigambo yetu yalikuwa sahihi?!
OKW BOBAN SUNZU Mzee wa Takwimu

ANGALIZO:
Takwimu hizi ni kwa timu za kuanzia Premier na kuendelea..msituletee takwimu sijui mmecheza na Mbuni fc huko..hapana.
 
Kama kawaida ya mashabiki wa timu kongwe, mechi moja tayari watu washaanza weka conclusions zao...
 
Haya wadau, hivi karibuni kupitia usajili wa dirisha dogo tumeshuhudia timu za Simba na Yanga zikifanya usajili wa kuboresha timu zao.

Hapa nawaleta kwenu Baleke mchezaji wa Simba na Musonda wa Yanga ili tuwafananishe kwa takwimu na namna wanavyozutumikia timu zao.

Yalisemwa mengi na wahasimu wa timu hizi mbili kuhusu sajili za wachezaji hawa lakini wataalamu walisema mpira ni mchezo wa wazi na tumeshaanza kuwaona kwani kila mmoja ameshatumikia timu yake kwenye mechi moja ya NBC Premier League.

Je, yale majigambo yetu yalikuwa sahihi?!
OKW BOBAN SUNZU Mzee wa Takwimu
Huyo Baleke ni kama Chico Ushindi tu, na huyo Sawadogo ni sawa na Abduaziz Makame, muda utasema.
 
1.Baleke shot on goal na goal anavyo.
2Musonda no shot on goal
 
  • Thanks
Reactions: BRN
1. Baleke - 1 shot on target, 1 goal, 1 game
2. Musonda - 0 shot on target, 0 goal, 1 game...
Wakishiba Hogo sasa utawasikia anamikimbio ya hatarii yule, hata Mayele mlianza kwa kumfanisha na Kibu Hahahahaa.... Akili za wala mihogo bhana! wanafikiri kua siku zote watasajili wakina Mayele tu kumbe wengine ni kina Musonda asee.
 
Back
Top Bottom