Kuna mikakati ya wazi imeandaliwa kuwahujumu Arizeti Fc kupitia mshika filimbi na kibendera ili Ayubu FC wapate pointi tatu

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,288
12,789
Baada ya mbinu ya kutumia wachezaji waliocheza Ayub FC na kuhamia Arizeti Fc kushindikana Sasa kwa taarifa nilizozipata hivi punde shilingi imegeuka kwa mpuliza filimbi na washika kibendera ndiyo watakao imaliza mechi hii mapema tu.

DAKA PANZI FC hii mechi wanaitaka sana na ndiyo maana wameamua kutumia wapuliza filimbi, mbinu Yao hii lazima wapate point hata iweje.

Tutegemee Kadi nyekundu, daka panzi lazima wapate Penati na Arizet FC watahukumiwa.

Wapuliza filimbi watachezesha Mchezo Kama hawazijui sheria kabisa yaani wamekubaliana wote watakuwa na makosa ya kibinadamu ili Penat FC washinde.

KILA LA HERI PENATI FC KATIKA USHINDI WENU WA MCHONGO.
 
KILA LA HERI PENATI FC KATIKA USHINDI WENU.
Bado hamjasema
 
Bado hamjasema.

Kama mmewatuma wacheze rafu kuwatisha wachezaji tambueni mtakipata mnachokitafuta
 
Mleta mada ananikumbusha goli la yanga dhidi ya azam msimu uliopita, mpira ulitoka nje refa akajifanya hajaona.

Ukiwa unaliwazia hilo maana huenda ushasahau nakukumbusha kuwa yanga ndio timu pekee duniani ambayo ilifungwa goli, mpira ukajaa wavuni na refa akasema ni kona
 
Usisahau Ile penat ya geita gold pale mwanza CCM kirumba msimu uliopita ajabu ngwenywa wa ngwenywa ajawai zungumzia
 
Baada ya mbinu ya kutumia wachezaji waliocheza Ayub FC na kuhamia Arizeti Fc kushindikana Sasa kwa taarifa nilizozipata hivi punde shilingi imegeuka kwa mpuliza filimbi na washika kibendera ndiyo watakao imaliza mechi hii mapema tu.

DAKA PANZI FC hii mechi wanaitaka sana na ndiyo maana wameamua kutumia wapuliza filimbi, mbinu Yao hii lazima wapate point hata iweje.

Tutegemee Kadi nyekundu, daka panzi lazima wapate Penati na Arizet FC watahukumiwa.

Wapuliza filimbi watachezesha Mchezo Kama hawazijui sheria kabisa yaani wamekubaliana wote watakuwa na makosa ya kibinadamu ili Penat FC washinde.

KILA LA HERI PENATI FC KATIKA USHINDI WENU WA MCHONGO.
Na yametokea kweli, mpira wa Tanzania una safari ndefu, na timu Kama iyo ndio inakwenda kucheza mechi za kimataifa sidhani Kama kule Kuna mbeleko ya aina yoyote, uwezo wako ndio unaamua mechi na sio vinginevyo, waamuzi Hawa wa Tanzania ni ngumu kupata nafasi michuano ya kimataifa ni aibu kubwa hii, goli la singida lilikuwa na offside Gani pale? Huu ni uchafuzi lakini aina haja ya kulalamika mwenzako akiweka jembe weka shoka na wengine wafuate nyayo ili kusudi twende sawa
 
Mleta mada ananikumbusha goli la yanga dhidi ya azam msimu uliopita, mpira ulitoka nje refa akajifanya hajaona.

Ukiwa unaliwazia hilo maana huenda ushasahau nakukumbusha kuwa yanga ndio timu pekee duniani ambayo ilifungwa goli, mpira ukajaa wavuni na refa akasema ni kona
Zungimzia na Goli la Leo na lile walilonyimwa Singida fountain Gate
 
Back
Top Bottom