Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Salamu, Leo Novemb 5 2023 Mshambuliaji wa Taifa Captain wa Simba ,John R.Boko.anaenda Kuandika Historia Mpya katika maisha yake ya Soka! Tukutane saa moja jioni! Nakala: Gentamycin...Aione...
1 Reactions
7 Replies
999 Views
Njia pekee ya arsenal kuongoza msimamo wa EPL,nikuzipanga timu kwakuzingatia mtiririko wa Alphabeti.[emoji16][emoji16][emoji16]
0 Reactions
4 Replies
394 Views
Wakuu match hii inachezwa katika uwanja wa Highland Estates, Imeanza saa 10, Hadi sasa ni dakika ya 20 na matokeo ni 0-0 endeleeni kuwa karibu nami ili kuendelea kuwapa Updates Full time 1-3...
4 Reactions
46 Replies
3K Views
Habar wakuu, Siwezi kuafiki ya kuwa Simba ataifunga yanga tarehe 5 yaani hata kwa kunyoshewa mtutu mie nitaendelea kupinga tu. Yaani kwa Yanga hii yenye High quality player Kipa bora Beki bora...
9 Reactions
27 Replies
2K Views
List ya mwisho ya Vilabu Bora Afrika 2023. Timu yako inashika nafasi ya ngapi hapa [emoji1541][emoji116]. Africa, Dunia 01 Al ahly. 06 02. Wydad. 51 03 Yanga. 63 04. Pyramids 73 05. Mamelodi 79...
6 Reactions
39 Replies
7K Views
1. Mimi ni shabiki wa Yanga lia lia. 2. Mitandaoni wanayanga wanalalamika kuhusu R.G. ga kupewa mechi ya kesho kwa sababu wanadhani au wana amini R.G.ga ni mnazi wa Simba. 3. Sikubaliani na...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Kocha Erik Ten Hag yupo katika hatari ya kupoteza kibarua chake ndani ya Manchester United kutokana na matokeo mabaya na kiwango kibovu kinachooneshwa na timu hiyo tangu kuanza kwa msimu huu hasa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ufundi kwenye mvua na tope ni kidogo kuliko nguvu. Simba na Yanga kama mvua itaendelea hivi hadi siku ya mechi hakikisheni wanaopata nafasi ya kucheza ni wale wababe tu, aina ya Mzamiru...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Utabiri wangu kuelekea mchezo wa kesho FT 0-0
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari Wanajukwaa La Michezo, Mimi kabisa nianze kwa kusema sio Muumini na siamini kama Ushirikina kua eti unafanya kazi asilimia 100 katika maswala ya football, Yani I mean Team Nzima kuanzia...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Hii nchi ina siri Sana, aliyekuwa kocha wa Singida Foundation Gate amelalamika kuingiliwa majukumu yake na Waziri wa Fedha, ikapeleka yeye kufanya vibaya katika kazi yake. Mimi sipo hapa kwenye...
5 Reactions
46 Replies
4K Views
Wewe Ceo wa bodi Almasi Kasongo mbona mshamba sana wewe jamaa, hiv kweli Simba itegemee promo ya Yanga hadi ulalamike Clouds kuwa Yanga hawajafanya promo kwa mechi hiyo, Simba haihitaji promo ya...
2 Reactions
3 Replies
694 Views
CAF wanathibitisha ubora wa Yanga kivitendo ndio maana wameiteua kuingia kwenye tuzo zao za kuchagua Timu Bora barani Africa kwa mwaka 2023. Yanga ni timu pekee kwa Ukanda wa Africa Mashariki...
17 Reactions
53 Replies
20K Views
SIMBA SC: Tarehe 20.03.2023 Simba SC waliingia mkataba na VUNJABEI wenye thamani ya Bilioni 2 tu kwa muda wa Miaka miwili (Yaani Misimu Miwili) VUNJABEI alitengeneza jezi kwa misimu miwili yaani...
4 Reactions
78 Replies
5K Views
Ni kivumbi tena, Kagera Sukari wakiwa wenyeji kuwakaribisha wajelajela wa Tanzania. Hadi sasa Dakika ya 45 Wakata Miwa wanaongoza kwa goal 1 lililotupiwa na Chirwa Obrey kwa mkwaju wa penati...
2 Reactions
66 Replies
3K Views
Wachezaji hawa walistahili hii tuzo lakini nyakati hazikuwa sahihi kwao: 1. Thierry Henry 2. Steven Gerald 3. Didier Drogba 4. Samuel Etoo 5. Frank Lampard 6. Robert Lewandowski 7. Arjen Roben...
15 Reactions
69 Replies
3K Views
Usiku wa leo, kuanzia saa 3:00 usiku kutakuwa na hafla ya ugawaji wa Tuzo za Ballon d'Or pale katika ukumbi wa Theatre du Chatelet jijini Paris. Katika hafla hiyo, kutakuwa na mchezaji bora wa...
10 Reactions
263 Replies
19K Views
Hongereni sana Uongozi wa Simba SC kwa Kumbeshimisha Mheshimiwa Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bw. David Concar kwa Kumzawadia Zawadi ya Jezi yenye Jina lake kwa nyuma. Poleni sana kwa...
10 Reactions
75 Replies
6K Views
Njooni na Utetezi wote juu ya hili na hawa ila tulio karibu na Wachezaji wa Vilabu vikubwa Viwili hivi, Viongozi wao na hasa Wataalam ( Waganga Wao wa Kienyeji' ) tunajua kuwa kwa hawa Wachezaji...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
their personal abilities Kibu Denis ni bora kwa speed and shooting forcing. Na heading Maxi zengeli ana football intelligence saana Ni bora kwa passing Dribbling Finishing Shooting Heading...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…