Arsenal wanaanzaga spidiii,katikati tu hoi

msimu huu wamechoka mapema sana nadhani sababu ya mshindano mengi kwao kitu kigeni,washapungiziwa moja ngoja tuone wanasongaje.
 
Njia pekee ya arsenal kuongoza msimamo wa EPL,nikuzipanga timu kwakuzingatia mtiririko wa Alphabeti.
Uliangalia mpira Jana kwanza lile goli sio hali halafu ile counter pressing ya Newcastle jana angalau wangejitahidi wakapata droo jamaa wanakaba mpaka kivuli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom