Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kati ya Cr Belouizdad, Petro De Luanda na Simba Kuna timu itaweza kufikia points 75 za ES TUNIS ?
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa ikiwa mwaka 2023 unaishia ishia. Taja member ambao unaona wanauelewa wa kiwango cha chini kwenye mpira, au pengine unazi wa utimu umemzidia. Mimi kwangu ni hawa wafuatao...
12 Reactions
39 Replies
3K Views
Unatengenezwa mkakati mwingine ili muingie kwenye anga zao tena huko kwenye Kombe la Mapinduzi, labda mjiangushe mrudi mapema lakini ukweli ni kuwa makamu mwenyekiti wao ndio mastermind wa kubeba...
5 Reactions
12 Replies
750 Views
Huu mwaka sitousahau ktk maisha yangu, nimezaliwa mwaka 1979 hospital ya Ocean Road, nimeishi Chang'ombe, nimeishi Keko, nimeishi Mtoni kwa Aziz Ally, nimeanza kwenda uwanjani nikiwa darasa la...
2 Reactions
11 Replies
801 Views
Zile tetesi za kuwaleta wachezaji niliowataja hapo juu,ni za kusikitisha sana kwani viongozi wetu wanaendekeza siasa badala ya uhalisia wa mprira wenyewe. Hata hivyo bado kuna tetesi kuwa coach...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Ukitaka habari zako za michezo ziuze hapa Tanzania, andika au toa habari za kuisifia au kuitukuza Yanga. Hakuna mashabiki wanaonunua habari za michezo hapa Tanzania kuliko mashabiki wa Yanga...
11 Reactions
24 Replies
2K Views
Natoa utabiri huu nikiwa na akili zangu timamu na upeo wa kutosha kuhusu mpira wa miguu. Mwaka huu 2023 ndiyo mwaka historia mpya inaenda kuandikwa kwa Simba kuchukua kombe la CAF Champions...
10 Reactions
108 Replies
6K Views
Kama ilivyoada mwishoni mwa mwaka ...Leo nawaletea best perfomer wa jukwaa la michezo na sifa zao Kwa mwaka huu 2023 1. Kalpana ...24 hrs yupo kwenye jf sports...sijui anapika saa...
8 Reactions
49 Replies
2K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu katika jukwaa hili? Hivi ni sahihi hii timu kuitwa Kilimanjaro stars ilhali jina kilimanjaro linawakilisha mlima na mkoa? Inaleta contradiction. Kwanini kama...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Jonathano Sowah ni streika wa timu ya Madeama kutoka Ghana ambayo imecheza mechi mbili naa Yanga siku za hapa karibuni. Baada ya mechi ya kwanza mashabiki wengi walimpigia chapuo kwamba ndie...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Wanalizombe Jambo hili ni letu. Tumuombe Mhe. Dr Jokate atusaidie kufufua timu yetu ya nyumbani
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Acha kumtupia lawama Ayub Lagreb tuliyemsifu kwenye gemu Wydad Casablanca kwa kufanya saves za kutosha nasema acha kabisa. Tatizo lipo kwa wachezaji (saikolojia Yao) waliingia na matokeo mfukoni...
11 Reactions
12 Replies
1K Views
Kuna mtu anajifariji kwa kusema Simba ni kubwa kuliko Chama, ni sawa lakini Chama ni Bora kuliko Wachezaji wote wa Simba, Tanzania na Afrika. Chama alishaondoka Simba kwenda Uarabuni Simba ikakosa...
15 Reactions
30 Replies
2K Views
Hatimae kile kitendawili cha umiliki wa Man Utd kimeteguliwa leo kwa ambapo klabu hiyo imefikia makubaliano na Sir Jim Ratcliffe ambaye ni Mwenyekiti wa Kampuni ya INEOS kumiliki asilimia 25 Klabu...
5 Reactions
7 Replies
946 Views
Habari wanajukwaa Nimeangalia michezo ijayo ya Simba katika michezo 4 jayo kwenye ligi. Aiseeee 😁😁 Niseme tu kwa hii Fixture Simba itapata ushindi mmoja na itasare michezo 2 na itapoteza mchezo...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari za jioni wakereketwa wa kabumbu. Ebwana kutoka kwenye chanzo cha ndani kabisa na kwa mtu Makini na kiongozi wa Simba ambaye ni miaka 4 sasa anafanya kazi Simba amenipa dondoo nne za...
31 Reactions
147 Replies
10K Views
Ni nyota njema kwa kocha Benchikha kwa kuanza vizuri katika ligi ya Nbcpl maana Simba sc toka walipochezea kichapo Cha goli tano dhidi ya mtaani haijawahi kushinda Tena Ila ushindi mkubwa ni droo...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
πŸ”° πŒπ€π“π‚π‡ DAYπŸ”° πŸ† #NBCPremierLeague ⚽️ Tabora United Vs Young Africans SC πŸ“† 23.12.2023 🏟 Jamhuri, Dodoma πŸ•– 1:00 Usiku Game yakufunga Mwaka hii. All the Best Young African SC...
7 Reactions
215 Replies
17K Views
Wakuu habari Katika miaka kadhaa na michache ya kuishi kwangu hapa duniani nmekuwa msomaji wa majarida na maandiko mbalimbali yanayohusu maendeleo ya miji, taasisi na nchi tofauti tofauti. Moja...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
"Benchikha mchezaji yoyote atakae mtaka tutampa" Hayo ni maneno ya Try again akizungumza na waandishi Habari lakini katika jicho la tatu ni maneno ya kufikiria sana na yanayoleta maswali mengi...
10 Reactions
29 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…