Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kibarua cha Kocha Jose Mourinho kimeota nyasi katika Klabu ya AS Roma kutokana na matokeo mabaya mfululizo ya timu hiyo msimu huu katika Ligi Kuu ya Italia ‘SerieA’. Kocha huyo wa zamani wa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mechi chache zimepigwa, lakini kiukweli waliodhaniwa watatamba hali ni mbaya . Misri tia maji tia maji huku Ghana ikiwa ulimi nje , mpaka sasa Ball Possession Ghana 30 % na wako nyuma kwa bao 1...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Timu imekua na usajili wa hovyo sana, wacheza wanaosajiliwa wengi ni free agent, nina mashaka kama ni pendekezo la kocha. Sijui kama kuna kitengo cha scouting kinafanya kazi yake vizuri. Hapa...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Kuna mwaka fulani Simba ilimchoka marehemu Aggrey Siang'a baada ya kuiletea mafanikio makubwa Simba, Siang'a alikuwa anatisha, Simba ilikuwa ikitoa vipigo vya mabao 5 kila anayesogea mbele, akina...
1 Reactions
3 Replies
876 Views
Taarifa za ndaaaaaniiii Kabisa zinadai Kuwa CAPTAIN FANTASTIC amebakishwa kwenye timu kwajili ya kunyanyua ndoo ya CAF CHAMPIONS LEAGUE [emoji471]. Eti atapewa THANK YOU mwishoni mwa msimu baada...
2 Reactions
6 Replies
749 Views
Tangu mwanzo mwa msimu timu imekuwa na mwenendo wa kusuasua na kuonesha mapungufu mengi. Nilitegemea kwenye dirisha dogo la usajili viongozi wa simba wafanye usajili wa wachezaji wenye uwezo...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Ukisikia Mwanasoka anatoa maneno ya hovyo kwa chombo cha habari basi tambua kuwa amechoka dhihaka na dharau. Hii ni post ya Ukurasa maarufu wa michezo Duniani ukimdhihaki Messi.
1 Reactions
10 Replies
968 Views
Nyota huyo wa zamani wa Uingereza, ambaye sasa ni mmoja wa watangazaji maarufu zaidi kwenye Kituo cha utangaji cha BBC, alituma tena chapisho la Kampeni ya Palestina ya Kususia Kielimu na...
0 Reactions
2 Replies
595 Views
Ni yule kinara wa magoli Ligi ya zambia NB. Nisije nikawa nina miaka 12 harafu hamniambii sio vizuri
1 Reactions
5 Replies
656 Views
Ni aibu sana nchi yenye ligi namba 5 Kwa ubora Africa kutokuwa na Mwamuzi hata m1 huko AFCON.Hivi nyie waamuzi wetu wa Mpira wa Miguu ni lini mtatuondolea hii aibu? Rwanda na Burundi nchi ndogo...
9 Reactions
11 Replies
1K Views
Uongozi wa Timu ya Simba umekoselewa na mashabiki kufuatia kupost picha iliyotengenezwa na AI. Hii ndio Picha ya AI iliyopostiwa na Ukurasa wa SIMBA SC. HAYA NDIO BAADHI YA MALALAMIKO YA...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Mpaka sasa tumeshuhudia sajili mbalimbali kwa baadhi ya timu za ligi kuu ya NBC na baadhi ya wachezaji kuwaona kwenye michuano ya mapinduzi wengi wao viwango vyao nivya kawaida kabisa. Simba nao...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Fabrice Ngoma ni mpole pole sana hivyo anapoozesha mpira... Saido ni mchoyo wa pasi na anataka ni LAZIMA kwenye kila mechi afunge..
2 Reactions
7 Replies
882 Views
Kuna taarifa kuwa Waziri Ndumbalo anakwenda nchini Ivory coast eti kuwapa hamasa taifa stars. Haya ni matumizi mabaya ya pesa za umma
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Habari wana JF, Hivi karibuni nimejikuta nazishabikia timu za Simba na Yanga ambao ni mahasimu wakubwa zote kwa pamoja ambacho si kitu cha kawaida hasa kutokana na ushindani mkubwa wa hizi timu...
4 Reactions
61 Replies
3K Views
Hawa tbc 1 tv huwa wanawatoa wapi watangazi wa hizi mechi mbavu zinaweza vunjika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] alafu mane wa azam sports hd na mane tbc mbona hawafanani? kwamba huku...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu, Kocha mkuu Benchika inasemekana amenyoosha rula. Rula yenyewe sio ombi ni maelekezo kwa viongozi! Huyu anaweza kuwa kocha wa kwanza wa kigeni asiyeogopa mtu kwenye kazi yake. Aliletewa...
23 Reactions
86 Replies
6K Views
Nani aliyewadanganya kuwa hawa Watajwa wote walirejea Tanzania Bara? Wameshirikiana sana Kiutamaduni. ,,.,,.....,,..... ..... .,,.. oni...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Akandwanao Alikanda Unga wa Ngano Kila mtalii aliyekuja Zanzibar alikuwa na hamu ya kula chapati za maji na za kukanda kwasababu ya uwezo wa kijana Akandwanao kuyageuza maji na unga wa ngano kuwa...
1 Reactions
16 Replies
854 Views
Hakika PONGEZI za Dhati kabisa Ziwaendee Viongozi na Wachezaji wote wa SIMBA kukubali kufungwa na Mlandege ili kuendeleza FURAHA ya Wazanzibar kusheherekea SIKU ya MAPINDUZI . Kitendo cha...
9 Reactions
21 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…