Waziri Ndumbalo kwenda kuhamasisha stars ni matumizi mabaya ya pesa za Umma

Afadhali hata wazo la kuoa limekuja 🤣🤣

Umenipa akili, itabidi mie na kaka mzuri pia twende OT au Emirates kucheki Arsenal Vs Man U.
Sasa si itakua kama 10yrs kutoka saiv ndo niwaze hayo

😁Sasa wewe game tu za yanga hauji taifa, utawezana za Madrid & united
 
Haijalishi, muhimu umeongelea hilo ni neema 🤣

Tatizo huonekani kwenye page za michezo, mi naenda uwanjani sana, sana.
Juzi tu hapo mechi zile za Ahly na Medeama nilikuwa uwanjani.
 
Mi npo sana naendaga kama Sina ratiba ngumu lazima nitokee japo game ya mwisho ilikua ya Marumo hapa Kati umaskini nao uliniandama😂plus safari za mkoani nikawa nashuhudia kupitia Azam Tiviii
 
Hiyo ya Marumo nilikuwa uwanjani pia, hadi fainali. Hakuna mechi ya lile kombe la shirikisho niliikosa.

Mechi za ligi nyingi ndio naangalia kwenye Tv, klabu bingwa nyingi huwa naenda.
 
Next time nikija takustua
 
Kuna taarifa kuwa Waziri Ndumbalo anakwenda nchini Ivory coast eti kuwapa hamasa taifa stars. Haya ni matumizi mabaya ya pesa za umma
Watanzania too much!, full kulalamika!. Tena kulalamikia kila kitu!. Yeye ndiye Waziri wa michezo, asipoenda yeye, aende nani?, tena alipaswa kwenda na the Dreamliner full of Wabongo.
P
 
Haijalishi, muhimu umeongelea hilo ni neema 🤣

Tatizo huonekani kwenye page za michezo, mi naenda uwanjani sana, sana.
Juzi tu hapo mechi zile za Ahly na Medeama nilikuwa uwanjani.
Dada unawajua mpk medeama😂
 
Kuna taarifa kuwa Waziri Ndumbalo anakwenda nchini Ivory coast eti kuwapa hamasa taifa stars. Haya ni matumizi mabaya ya pesa za umma
Waziri wa michezo akiwepo kwenye michuano mikubwa kama hii ni hakuna ubaya, joja labda iwe ameenda na msafara?
 
Watanzania too much!, full kulalamika!. Tena kulalamikia kila kitu!. Yeye ndiye Waziri wa michezo, asipoenda yeye, aende nani?, tena alipaswa kwenda na the Dreamliner full of Wabongo.
P
Mkuu Mayalla waambie hawa wanasiasa waachane na sisi. Kila kinachotupa furaha wao wanakiingilia mwisho wa siku tunagawanyika kama taifa.
Mf.
*Ligi kuu siasa
  • ligi ya mabingwa siasa
  • mapinduzi siasa
  • taifa starz siasa
*elimu yetu siasa
*kilimo chetu siasa
  • mahakama yetu siasa
  • jeshi letu siasa
*utumishi wa umma sasa
*dini zetu siasa
What the hell do these goons want from us. Tumechoka. Punda amechoka.
We are tired.
 
Back
Top Bottom