mazengo worriors
Member
- Aug 12, 2020
- 44
- 73
Ni aibu sana nchi yenye ligi namba 5 Kwa ubora Africa kutokuwa na Mwamuzi hata m1 huko AFCON.Hivi nyie waamuzi wetu wa Mpira wa Miguu ni lini mtatuondolea hii aibu?
Rwanda na Burundi nchi ndogo kabisa zimepeleka waamuzi nadhani Kuna haja ya TFF kuagiza waamuzi kutoka nchi nyingine kuja kufanya kazi ya uamuzi kwenye ligi zetu.