Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

"Simba imeshafanya mambo mengi makubwa, yaliyopita, yanayofanyika sasa na mengine yanakuja." "Sisi mliotupa dhamana tupo tayari kupokea maoni ambayo yataipeleka Simba mbele." "Lengo letu ni...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Kocha mzungu hakuwa mjinga kumuacha nje Kibu Denis kwenye mchezo wa ufunguzi. Baada ya mgunda na Morocco kuachiwa jahazi Kibu Denis akapangwa kikosi Cha kwanza kabisa dhidi ya Zambia. Ona alikosa...
3 Reactions
10 Replies
876 Views
Bado Tanzania kama nchi imeshindwa kuheshimu Professionalism katika soka. AFCON ni sio sehemu ya siasa wala vituko. Hapo ni sehemu ambayo Wataalamu wanatakiwa kupewa nafasi kutoa mafunzo yao na...
2 Reactions
13 Replies
989 Views
Hilo ni ombi langu kwako mh Rais wa Zanzibar Dr Mwinyi Nakumbuka timu ya Taifa ya Zanzibar Captain akiwa Omar Hassan " King" ilikuwa Bora mara 100 kuliko Taifa Stars Equetorial Guinea ina idadi...
0 Reactions
2 Replies
412 Views
TFF iondoke madarakani haraka sana la sivyo tusiandae AFCON 2024. TFF inabeba lawama zote za mpira mbovu waoneshao taifa stars huko Abidjan Ivory cost. Huyu kocha anashindwa hata kukuza uwezo wa...
3 Reactions
35 Replies
2K Views
Unaweza kuona ni makosa madogo lakini ni makubwa kwa ukubwa wa Simba na hadhi ya mkutano wenyewe!
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Uongozi wa Timu ya Taifa ya Misri umethibitisha kuwa mshambuliaji wao Mohamed Salah (31) amerejea katika klabu yake kupatiwa matibabu zaidi baada ya kuumia misuli ya paja katika mchezo dhidi ya...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
inasikitisha sana huwa tunakuwa wepesi mno kumkosoa / kumkandia pale tukiona kuwa hajitoi na haipambanii timu ya taifa ( taifa stars ) ila akijitoa kwa nguvu zake zote kwa kupambana zaidi uwanjani...
10 Reactions
11 Replies
1K Views
Ni Messi tena.... Lionel Messi ashinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa FIFA 2023 Staa wa Argentina na Klabu ya Inter Miami, Lionel Messi ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa FIFA 2023 kwa Wanaume...
7 Reactions
42 Replies
4K Views
Yaani hii nchi Ina vitu vinachekesha kweli kweli! Mwanzoni mwa mwezi huu wa January wizara ya michezo na ilitangaza kamati ya hamasa Kwa ajili ya kuhamasisha mashabiki kuishangilia taifa stars...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Sie mashabiki wa Mali hatuna hofu nyie mashabiki wa stars mnakumbuka nini mkiiona hii picha?
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Mhasibu wa Simba Mo Extra na Sabuni kwa yale matangazo kwenye jezi wanalipa mil 400. Duh, Simba ina viongozi wa hovyo,wanaitumia timu kibiashara ndo maana hakuna mafanikio uwanjani Sent using...
10 Reactions
46 Replies
3K Views
Huyu referee anayechezesha pambano la Congo DR na Morocco ni muungwana sana. Wachezaju wa Morocco wakiwa wanatoka anawasindikiza anawaambia wasikimbie wasije wakaanguka wakaumia. Naona mzozo...
1 Reactions
3 Replies
750 Views
Niseme ukweli sina imani na mchezaji yoyote wa SIMBA SC , they are too good for nothing. Mtu kama Hussein anapenda sana kurudisha mpira nyuma, hana accuracy’s . Ni uchochoro. Manula ni tatizo...
8 Reactions
53 Replies
3K Views
Match Day Leo Jumapili 21.01.2024. Tanzania (Taifa Stars) Tunatupa karata yetu ya pili katika Mashindano haya ya AFCON 2024 kumenyana na Timu ya Taifa ya Zambia a.k.a Chipolopolo. Zambia...
13 Reactions
1K Replies
65K Views
Salaam Imani bado tunayo na ni kubwa mno, makosa tumeyaona na tunaenda kuyafanyia kazi na hatuna haja ya kuwalaumu wachezaji kwani ni sehemu tu ya mchezo na kawaida kwenye mashindano yoyote yalee...
3 Reactions
51 Replies
3K Views
Hakuna timu ya taifa ya Tanzania iitwayo watoto wa mama wa Kizimkazi iliyoko mashindanoni AFCON bali tuna timu ya taifa iitwayo Taifa Stars tu sawa? Hovyo kabisa.......!!
10 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwann kama taifa hatuna mikakati?? Nakasirika sana kuona serikali inadandia treni ya mafanikio ya mpira kwa mbele. Nchi za Senegal, Mali, na Burkina Faso serikali za nchi hizi zimefanya uwekezaji...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Jana nimekwenda ibadani nikapata upako wa kutosha. Na nikarudi nyumbani, nikitarajia kuwa furaha hiyo itaendelea hadi usiku wote. Kufika majira ya saa nne za usiku, timu moja, inayoitwa Taifa...
0 Reactions
2 Replies
704 Views
Hakuna mtu asiyejua kama hatuna mafanikio, lakini sio kutufanya mazuzu kutuletea mafanikio ya kuungaunga. Mtu anapimwa kwa kufanikisha objectives, sasa mtueleze hizo ndio zilikuwa objectives...
12 Reactions
39 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…