Mabango yote kwenye jezi Mo analipa mil 400

NBC wanatoa bei gani kudhamini ligi kuu yenye timu 16? Ni mwendawazimu pekee anaeweza kubeza udhamini wa millioni 400 kutoka AOne products.
Wanachama wote wa simba kwa mwaka wanalipia kadi jumla million 36.
Unakuta anaebeza huu udhamini hana hata uwezo wa kupata milo mitatu iliyokamilika!! Nchi yetu ina watu mapooza wengi sana,mmojawapo ni uyu mleta uzi.
 
Mhasibu wa Simba Mo Extra na Sabuni kwa yale matangazo kwenye jezi wanalipa mil 400.

Duh, Simba ina viongozi wa hovyo,wanaitumia timu kibiashara ndo maana hakuna mafanikio uwanjani

Sent using Jamii Forums mobile app
Binadamu hatuna wema kabisa, unakumbuka msimu huu mo alitangaza kwamba ametoa billion 3 kwa ajili ya kusaidia usajiri? sasa mbona hamkujitokeza kupinga kwa nini ametoa?
 
Mbaya zaidi tunaambiwa Mo kachangia 2.4bil kwenye budget ya club

Hii, timu kama huyu Mo ataendelea kubaki alivyo itakuwa mali yake atafanya anavyofanya.
 
Binadamu hatuna wema kabisa, unakumbuka msimu huu mo alitangaza kwamba ametoa billion 3 kwa ajili ya kusaidia usajiri? sasa mbona hamkujitokeza kupinga kwa nini ametoa?
usajili upi wa milioni 500???? achana na bilioni 1,,,,,

bilioni 3 usajili ule upuuzi? pale hata 500M hazijatumika
 
Mbaya zaidi tunaambiwa Mo kachangia 2.4bil kwenye budget ya club

Hii, timu kama huyu Mo ataendelea kubaki alivyo itakuwa mali yake atafanya anavyofanya.
Kufanya mali yake hawezi, serikali imeingilia kati ndo maana wakaambiwa wabadili katiba mwekezaji hatakiwi kuwa na zaidi ya 49% na hiyo 49% serikali inataka pia wawekezaji wagawane, walipeleka katiba ya Mo kupewa umiliki ndo mchakato ulipogoma na kuambiwa warekebishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom