Ina maana leo tunajifanya hatujaona jinsi Mbwana Samatta alivyoipambania Taifa Stars; au ni unafiki wetu na roho mbaya zetu tu watanzania?

Cognizant

JF-Expert Member
Aug 13, 2022
491
1,056
inasikitisha sana huwa tunakuwa wepesi mno kumkosoa / kumkandia pale tukiona kuwa hajitoi na haipambanii timu ya taifa ( taifa stars ) ila akijitoa kwa nguvu zake zote kwa kupambana zaidi uwanjani kama alivyofanya leo dhidi ya zambia wala hatumpongezi na kuithamini thamani yake

asante mbwana samatta popa ( captain diego ) kwa kuipambamia nchi ya tanzania kivitendo leo dhidi ya chipolopolo ( zambia ) na cognizant nasema hakuna tunachokudai kabisa. umekitendea mno haki kitambaa cha unahodha ulichovaa leo
 
Wewe si ndio unalalamika umefungiwa jukwaa la sports? Na hapa ni wapi?
 
Tabia yake ya uchoyo na kuchelewa maamuzi imetupunguzia idadi ya magoli. Aliona kama tumeshashinda sasa akawa na uchu wa kufunga.

Kocha naye hakwepi lawama kwanini timu icheze nyuma badala ya kushambulia wakati wapinzani wako wachache na wana kadi za njano takriban 5. Nimeumia sana jana
 
Back
Top Bottom