Wachezaji wa SIMBA SC , mnashida gani?

Megalodon

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,256
4,098
Niseme ukweli sina imani na mchezaji yoyote wa SIMBA SC , they are too good for nothing.

Mtu kama Hussein anapenda sana kurudisha mpira nyuma, hana accuracy’s . Ni uchochoro.

Manula ni tatizo lingine, it was just a matter of time aruhusu goli, nadhan ndio kipa atakayeshika namba 1 kwa kufungwa.

Mpaka sasa ameshakula goli nne. DRC watamlala kama 3 hivi.

Hata ile kona nilijua ni goli, huwa haoni vema.

Samatta, ni aina nyingine ya kizazi cha SSC , mvivu, yupo slow , sio creative kama wenzie wanaocheza nje, anaharibu movement nyingi ambazo zinaweza kuzaa magoli.

Nadhan amepangwa kwa jina tu , Uingereza walistuka zamani sana kuwa jamaa alikuwa overated.

Shida kubwa walioharibu mpira ni wachezaji wa SSC. Mchezaji pekee wa SSC anaejielewa
ni mmoja tu ; kibu denga

Kama mmeshindwa kuifunga Zambia wa kiwa pungufu ; DRC ni ya moto hamuiwezi

Wachezaji wa SSC ni kichwa cha mwendazimu kama viongozi wao waliowasilisha mafanikio ya klabu kwa miaka 2 mfululizo, shame !
 
Hebu tutolee utopolo wako...hivi ww huwa unajielewa kweli? Ikiisha mechi unakimbizana kuanzisha uzi kuhusu wachezaji wa Simba...hivi ww ni wa kumsema Manula leo...una inferiority complex...unaanzisha mada ili uwahi kuficha madudu ya upande wa pili...
 
Pumbavu wewe,hujielewi.

Tukianza kusema za Yanga tutakuwa tunatupiana mpira tu.

Kwa kukujuza tu, Mudathir Yahaya alishindwa kummark Patson akaruka juu freely na kutundika bao..

Tusiongee swala la Mwamnyeto kufanya makosa ya hovyo, na kwa uhodari wa Manula akatuweka salama.

Wachezaji wote wa Stars ni wapumbavu. Hawajielewi.

Tshabalala kwa back passes upo sahihi.

Samatta ana ujinga mwingi mno. Ila yeye pia ndiye katoa pass ya bao.
 
Madudu gani , sema

Kwani ni uongo, wachezaji wa SSC ndio wanaiua timu ya Taifa

Mpira wao ni slow na kurudisha Nyuma

Hata Samata kaharibu movement nyingi sana
 
Manula Pale angefanyaje? Unajua mpira kweli? Ujinga ni siasa kwenye mpira, Yani msuva anafunga goli unaskia shukrani ziende kwa mama kizimkazi, Philip mpango kigoma, bila kumsahau pm kutoka lindi... Yaani huyu mtangazaji Leo kanikera basi tu

Shenzi

Ndio walioratibu zoezi la kuchangisha
 
Madudu gani , sema

Kwani ni uongo, wachezaji wa SSC ndio wanaiua timu ya Taifa

Mpira wao ni slow na kurudisha Nyuma

Hata Samata kaharibu movement nyingi sana
Hujawaona vyura wenzio?? Hebu acha kujidhalilisha mkuu....mechi ya leo ungekua na akili ungenyamaza kimyaaa sio kukimbilia kuanzisha thread...ambacho ungediscus ni hizo back passes tuu wote tumeangalia mpira acha kuongea uyanga yanga wako hapa...na wote walikua hovyo kwny kurudisha mipira kila mara..
 
Pumbavu wewe,hujielewi.

Tukianza kusema za Yanga tutakuwa tunatupiana mpira tu.

Kwa kukujuza tu, Mudathir Yahaya alishindwa kummark Patson akaruka juu freely na kutundika bao..

Tusiongee swala la Mwamnyeto kufanya makosa ya hovyo, na kwa uhodari wa Manula akatuweka salama.

Wachezaji wote wa Stars ni wapumbavu. Hawajielewi.

Tshabalala kwa back passes upo sahihi.

Samatta ana ujinga mwingi mno. Ila yeye pia ndiye katoa pass ya bao.

Msengerema wewe.

Kazi ya kipa ni nini, yeye alipaswq kuona pia kuna mchezaji yupo free

Nasema tena Samata hana anachofanya na kwakua root yake ni SSC bado anafanya back passes na kuharibu mipira

Hussein amezoea yupo SSC , mpira wa kwendq mbele anapeleka nyuma

Wachezaji wa SSC NI uozo wavivu hawajitumi
 
Hujawaona vyura wenzio?? Hebu acha kujidhalilisha mkuu....mechi ya leo ungekua na akili ungenyamaza kimyaaa sio kukimbilia kuanzisha thread...ambacho ungediscus ni hizo back passes tuu wote tumeangalia mpira acha kuongea uyanga yanga wako hapa...na wote walikua hovyo kwny kurudisha mipira kila mara..
Utamia nguvu kubwa halafu unakuta mtu mwenyewe ni form four leaver tena kapiga div. 4 yupo kwa shemeji yake anatuumiza vichwa watu na akili zetu. Dada ake akiachwa na yeye ameachwa😂
 
Wameniboa sana wathenge tu kila saa kurudisha mipira nyuma.... wote pamoja na makocha ni ma......

Ndio maana nilisema timu ya Taifa inauliwa na wachezaji wa SSC kwa back pass

Players wa Yanga na Azam hawana huu ujinga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom