Leo mida ya saa 11 jioni, viwanja vya Wembley London, manguli wawili Chelsea na Manchester City wanakutana katika fainali za FA cup.
Tukutane hapa kwa live updates!
Nilikuwa namtetea sana Mangungu kwamba hana uwezo sababu katiba haimpi nguvu.
Baada ya marekebisho ya katiba amekaa kimya na kuqcha bodi ambayo haitambuliki iendelee kufanya maamuzi ikiwemo...
Asee watu wangu wa nguvu wapenzi wa mpira kuna bonge la mechi yani nail biting usipime.
Timu mbili kubwa kwenye league kuu ya mpira Bangladesh Khelaghar Samaj Kalyan Samiti VS Dhaka Rangers Fc...
Nitalia arsenal atapo beba ubingwa, hakika hii ni kubwa kuliko, funzo kubwa kwenye maisha linatolewa na arsenal, mara ya mwisho kubeba ubingwa wa epl nadhani ilikua 2003/2004.
Ni miaka 22 imepita...
Wale mnaobeti Mechi ya Kigoma leo wekeni katika Sare ya Magoli au isiyo na Magoli (Suluhu) au Simba SC inafungwa na Mashujaa FC. Kuna Watu wanadhani kwakuwa Kocha Julio ni Mwanetu basi...
Yap Yap ni Leo, Mei 14 2026 Simba ndani ya Msitu mzito wa Sokwe Aina ya Mashujaa FC,
Mashujaa wamejiapiza kuikaanga Simba siku ya leo huku Simba wakiweka wazi kuwa kilichowapeleka Kigoma ni alama...
Siku zingine muwe mnakosoa kabla ya Mechi kuchezwa na siyo kusubiria Vipigo ndipo mje Kukosoa ili kutafuta Sifa na kujifanya mnayajua mengi yanayoendelea.
Kufa ni kufa tu. Mlipeni Mganga wenu!!!!!
Kuna wakati kulikuwa na ubishi nani mkali kati ya dogo Sisko(jini) na Ronaldo (mwanasayansi) kiukweli kwa kipindi kile angalau angalau angefurukuta ila alikuwa kila akiwekewa dau acheze naye...
Katika mchezo wa KMC dhidi ya Yanga, Shedrack Boka alifanya faulu ya wazi na ni penalty lakini kwakuwa refa kwa sababu alizo nazo pekee na woga kwa mashbiki wa Yanga akaamua kufunika na...
Viongozi wa Simba wanajua wanaenda poteza ubingwa kwa mara ya 5 mfululizo.
Wakaamua kuja na njia ya kusifia magoli ili mashabiki wahamishie furaha Yao kwenye kushabikia magoli.
Hivi timu kubwa...
Yanga kama ilivyo bibi yake CCM imehodhi wasanii wote wanaowika Tanzania. Hakuna haja ya Simba kupapatikia hawa wasanii wanaokuzwa na kulelewa katika misingi ya kisiasa.
Simba huwa inaanza...
Unangangania Derby kuchezewa kmc ukijua kabisa uwanja sio mzuri kwa sababu tu unataka tu kumkomoa timu fulani cha ajabu unapewa baraka na TFF
kabla ya week haijaisha unarudi tena TFF unalalamika...