loose Nut
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 2,012
- 4,473
Asee watu wangu wa nguvu wapenzi wa mpira kuna bonge la mechi yani nail biting usipime.
Timu mbili kubwa kwenye league kuu ya mpira Bangladesh Khelaghar Samaj Kalyan Samiti VS Dhaka Rangers Fc zinacheza.
Yani ni patashika kuna chenga za hatarii na assist za kufa mutu Lamine Yamal mchumba tu.
Nimetokea kuipenda hii league sitajisumbua tena na miligi uchwara FA premier, la liga, bundesliga, league 1 na serie A.
Kusema ukweli mpira unachezwa Bangladesh premier league wee acha tu.
Dakika ya ishirini sasa hivi bila bila lakini hizo chenga, pasi na assist uspime maamae.
hydroxo
adriz de mbusii