rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 17,492
- 24,563
Hii ligi sijui wanatumia vigezo gani kuiweka ligi namba 5 kwa ubora Afrika.
Mojawapo ya adhabu ziluzotangazwa na bodi ya ligi ni adhabu ya kufungiwa shabiki wa yanga anayeandamana na benchi la ufundi.
Hivi shabiki anawezaje kukaa kwenye benchi la ufundi, ina maana mtu yoyote anaweza kukaa kwenye benchi la ufundi?
Bodi ya ligi inabidi ijitathimi kwa sababu kila siku inadhalilika.