Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Nike hivi karibuni wametoa tangazo kubwa la kimataifa la mpira wa miguu linaloitwa "Rip the Script" likiwakutanisha mastaa wakubwa duniani kama Cristiano Ronaldo, Kylian Mbappe, Erling Haaland...
5 Reactions
7 Replies
332 Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, akizungumza Bungeni leo Mei 29, 2026, Dodoma, kufuatia Mechi ya jana Mei 28, 2026 ambapo timu ya Serengeti Boys ilifanikiwa kutinga...
3 Reactions
17 Replies
503 Views
Kama Mada Inavyosema. Mimi nimekulia Morogoro na nimecheza sana ndondo miaka ya late 1990's na 2000's nikitokea timu ya Ghetto Boys ya Mvomero. Katika makuzi yetu tulikuwa tunacheza sana ndondo...
5 Reactions
159 Replies
6K Views
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, anapaswa kusimama imara na kulinda misingi ya soka la kitaalamu kwa kukataa katakata kuingiza ushawishi wa kisiasa kwenye kanuni...
0 Reactions
7 Replies
205 Views
Vikosi vya Kombe la Dunia 2026 vimetangazwa na nchi zinazoshiriki lakini kama kawaida, mijadala haiishi! Ni wachezaji gani wameachwa kwenye vikosi vya timu zao za taifa, ilhali walifanya vizuri...
5 Reactions
50 Replies
2K Views
Dj SMA kwenye mahojiano na Bongo Plus ametoa maoni yake kuhusu timu ya Taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 maarufu Serengeti Boys baada ya fainali ya AFCON akisema ; Soma: Full Time |...
9 Reactions
14 Replies
294 Views
Numeona nianzishe Uzi kama huu, maana wenzangu wengi wameshafungua nyuzi za kuipongeza Serengeti Boys kutema ubingwa. Nimeona nami nisibaki nyuma katika hili. Hongera Serengeti boiz 👏👏👏👏.
19 Reactions
47 Replies
796 Views
Guys Huyu dada na akili mara mia ya Makonda. kiufupi Makonda ni empty head kabisa sijui huwa anatumia ubongo upi kutekeleza mambo yake. Mara nyingi amekuwa ni mtu wa papara na mipango mibovu...
2 Reactions
19 Replies
373 Views
Mwaka huu katika kombe la dunia, aina ya mpira ambao utatumika utakuwa na teknolojia mpya ya kisasa zaidi. Mipira hiyo ya Adidas inaitwa Trionda, itakuwa na sensor maalum na chip ya IMU...
12 Reactions
25 Replies
624 Views
Kama taifa lazima tuzikemee hizi tabia zinazochipukia Kwa Hawa vijana wa hovyo kufurahia matokeo mabaya ya mpira .....kama mdau wa soka nakemea jambo hili Lazima tuwe wazalendo Kwa kuwa serikali...
6 Reactions
105 Replies
980 Views
Timu ya Taifa ya Tanzania ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 (U-17), maarufu kama Serengeti Boys, leo inashuka dimbani kuivaa Senegal U-17 katika mchezo wa mwisho wa michuano ya TotalEnergies...
6 Reactions
259 Replies
5K Views
Nilidhani mtu ukifanikiwa, ukastaafu na kuzeeka basi wivu na bifu za kitoto basi unawaachia vijana, lakini sio kwa huyu mzee Inaonekana ilimuuma sana Arsenal ilivyochukua ubingwa wa EPL na kufika...
4 Reactions
20 Replies
567 Views
FIFA World Cup 2026 imeidhinisha mgawanyo wa fedha wa dola milioni 727 (Tsh. Trilioni 1.9) kwa ajili ya mashindano hayo, ambao ni mkubwa zaidi katika historia ya michuano hiyo. Kati ya kiasi...
3 Reactions
2 Replies
283 Views
Naona Azam anachukua watangazaji na wachambuzi wa Michezo wote kutoka vituo vingine. Wakina Dauda, Kumwembe, Mkalaboko, Meena Ally, Abissay, Ally Mayay, nk. KOMBE LA DUNIA | WAMEMWAGA WINO Ni...
6 Reactions
24 Replies
725 Views
Baada ya rejea mbalimbali za matukio ikiwemo penati,faulo na kadi nyekundu katika ligi kuu ya uingereza msimu wa 2025/26. Imebainika kwamba Manchester city walitakiwa kuongoza ligi kwa pointi...
1 Reactions
2 Replies
157 Views
1. JIFUNZE KURIDHIKA. Mchezo wa Kubashiri, ni moja katibya mchezo wenye matamanio na wenye mvuto mkubwa sasa, Sasa brothers, wawekezaji, Jifunze kuridhika kile ulichokipata Baada ya Kubet Usibet...
3 Reactions
33 Replies
11K Views
Kwanza nianze kwa kuwapa pole, Tripple M, Makonda, Msigwa na Manara...... poleni kwa kufungwa. Makonda alitufahamisha kwamba alipokea maagizo kutoka kwa Rais yakisisitiza kwamba Kambi ya...
1 Reactions
8 Replies
244 Views
Hii rekodi inayowekwa na Serikali ya awamu ya sita kwenye sekta ya michezo mbalimbali kuanzia soka Hadi mbio haijawahi wekwa hapo kabla. Wakati haters wa mama walipojitokeza kusema anaingiza...
3 Reactions
29 Replies
419 Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda baada ya timu vijana ya Serengeti Boys kupoteza fainali ya AFCON U17 mbele ya Senegal
4 Reactions
10 Replies
321 Views
Wakuu, Wabunge waliosafiri kwenda Nchini Morocco wakiwashangilia Serengeti boys baada ya mchezo wa Fainali ya AFCON U-17 waliyopoteza kwa mikwaju ya penalti dhidi ya Senegal
1 Reactions
2 Replies
191 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…