Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Huyu member KUNI alileta uzi juzi tumshauri a cash out 2M ama asubiri tu mechi ya Ureno na Uzbekistan mkeka utiki apate 18M. Wengi walimshauri a cash out lakini mwenyewe akakomaa atasubiri...
8 Reactions
15 Replies
418 Views
Nimemuomba namba yake wiki 3 Zilizopita kilasiku Nilikua simtongozi Tunachati tu ila sasa Nimpotezee cku 2 tu kaanza kulalamika et Mbona simpigii ipoje hii au kaingia mtegoni Tayari?
4 Reactions
18 Replies
346 Views
Cristiano Ronaldo sasa ndiye mfungaji bora zaidi wa Portugal kwenye historia ya World Cup 🔥 Baada ya mabao yake mawili dhidi ya Uzbekistan: Ronaldo amefikisha mabao 10 ya World Cup 🔥 Akimvuka...
1 Reactions
1 Replies
121 Views
Niliandika kama post nimeona nilete uzi nielewe fresh. Timu ya taifa ya wanawake ya mpira wa miguu US ndiyo inaongoza kwa kuchukua makombe mengi ya dunia. Ikiwa na makombe manne. Nasikiaga...
1 Reactions
8 Replies
224 Views
Mwaka 2012 mwishoni nilishawishika kuanza kubeti baada ya kushuhudia rafiki yangu aliekuwa akibeti kwa muda mrefu hatimae katandika shilingi laki 4 na elf 30 kwa dau la elf 2 pekee...
25 Reactions
83 Replies
15K Views
CR7 G.O.A.T
4 Reactions
50 Replies
675 Views
Leo Ronaldo atafunga mabao 5 peke yake
7 Reactions
37 Replies
500 Views
  • Redirect
Uzbekistan ni timu dhaifu akishindwa kuondoka na mpira ndio basi tena Siuuuuu
0 Reactions
Replies
Views
Mohammed Salah alionekana akiwa kwenye mitaa ya jiji la Vancouver nchini Canada akishangilia pamoja na raia wenzake wa Misri baada ya timu yao ya Misri kufanikiwa kuifunga timu ya New Zealand kwa...
1 Reactions
8 Replies
210 Views
Aliyekuwa beki machachari wa Bayern Munich na Real Madrid na beki wa timu ya taifa ya Austria David Alaba baba yake ni Mnaigeria na mama yake ni Mfilipino. Wachezaji wengine asili ya Nigeria...
2 Reactions
5 Replies
194 Views
England na Ghana zinalenga kukata tiketi ya hatua ya mtoano ya Kombe la Dunia mapema iwezekanavyo kwa kushinda mtanange huu wa Kundi L utakaopigwa huko Boston. Fomu ya Timu na Habari Zilizopo...
0 Reactions
1 Replies
206 Views
Timu ya Taifa ya Senegal imekubali kichapo hicho katika Kundi I, licha ya kuanza kucheza vizuri kipindi cha kwanza cha mchezo huo, kipindi cha pili mbinu za Ufaransa zikawa bora na kupata magoli...
6 Reactions
190 Replies
3K Views
Wakuu hii sasa imekuwa historia rasmi Lionel Messi amefikisha mabao 16 kwenye FIFA World Cup na kumfikia Miroslav Klose kama mfungaji bora wa muda wote wa World Cup. Messi kafanya hivyo baada ya...
14 Reactions
40 Replies
911 Views
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Brazil, Neymar Jr., hatarajiwi kurejea uwanjani hadi michuano ya Kombe la Dunia itakapofikia hatua ya mtoano. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 34 bado hajaanza...
3 Reactions
16 Replies
471 Views
Kombe la Dunia linaendelea tena leo ambapo Ufaransa watakuwa uwanjani dhidi ya Iraq Naamini chama langu France litamkana sana mpenda vita Iraq Soma Pia: FT: Ufaransa 3-1 Senegal | World Cup 2026...
1 Reactions
4 Replies
232 Views
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limejikuta katikati ya lawama nzito baada ya kashfa ya uchaguzi wa wachezaji wa kuwakilisha taifa katika mashindano ya eFootball World Cup 25. Yaani badala ya...
10 Reactions
73 Replies
3K Views
Kama kuna maajabu nahisi dunia itayashuhudia leo ni Cape Verde kumkomalia Hispania!! Ķuna uwezekano mkubwa sana (90%) Cape Verde akaibuka kidedea mechi ya leo kombe la dunia!! Huu uzi ukisinzia...
14 Reactions
120 Replies
2K Views
Ujerumani na Ivory Coast zinaingia katika mchuano huu wa Kundi E huko Toronto zikijua kwamba ushindi utawahakikishia nafasi katika hatua ya mtoano ya Kombe la Dunia zikiwa zimesalia na mechi moja...
4 Reactions
28 Replies
616 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…