Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

ENGLAND: Msimu uliopita #ManchesterUnited iliumaliza kwa kuonesha ushindani mzuri, safari hii Msimu wa 2026/27 katika Premier League imeanza kwa kupigwa 2-0 kutoka kwa timu iliyopanda daraja...
1 Reactions
11 Replies
146 Views
  • Redirect
Hull City wamemnyuka Manchester United kwenye mechi yao ya kwanza baada kurejea Premier League baada ya miaka 9. Hebu vuta picha, unarudi kwenye ligi ngumu kuliko zote duniani baada ya miaka 9...
0 Reactions
Replies
Views
Moja kwa moja huu uzi uwafikie viongozi na benchi la ufundi la Simba sc. Muwaeleze wachezaji kuwa uwepo wa Football video support (FVS) na madhara yanayoweza kuwakumba wao wachezaji na team kwa...
1 Reactions
0 Replies
94 Views
  • Redirect
Akifanikiwa kulipa fadhila kuna bahasha ya kaki ya pongezi! Lakini kugawa pointi sita kwa mfadhili kuko pale pale!
0 Reactions
Replies
Views
Timu ya taifa ya mpira wa miguu ya watu wenye kimo kifupi nchini Sudan, inapambania ndoto yake ya kucheza Kombe la Dunia licha ya vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo. Timu hiyo inajiandaa...
3 Reactions
22 Replies
421 Views
Kama hutakuwa makini unaweza kusema 90% ya TFF, Bodi ya Ligi na marefa walikuwa ni Simba kabla ya ujio wa technolojia ya FVS kwenye ligi yetu, kumbe bana haikuwa hivyo, walikuwa wanapitiwa tu...
3 Reactions
14 Replies
300 Views
Kwa watu wa ball you bella wochi you back once again chondechonde kwa. benchi la ufundi la wanasimba tunaomba huyu dogo asicheze kama. Kweli tuko serious na kusaka ubingwa Semfuko huyu dogo...
0 Reactions
4 Replies
163 Views
Hatimaye the long wait is over Rodri ndani ya uzi wa Barça. Barça itakuwa na kiungo kikali sana kati mkata umeme Rodri pembeni akiwepo Pedri na Dani Olmo na mtoto wa Kidachi FDJ kmmk Leo game ya...
10 Reactions
72 Replies
854 Views
Klabu ya AS FAR Rabat ya Morocco imemtambulisha rasmi kiungo mshambuliaji, Allan Okello ‘Star Boy’ kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Young Africans SC ya Tanzania Soma Pia: Biashara ya...
1 Reactions
3 Replies
174 Views
Tottenham Hotspur wameingia kwenye msimu wa 2026/27 kwa kufanya usajili mkubwa, huku klabu hiyo ikiendelea kujenga upya kikosi chini ya kocha Roberto De Zerbi. Spurs tayari wameongeza nyota...
2 Reactions
1 Replies
88 Views
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza kuongezwa kasi ya ujenzi wa viwanja vya mazoezi vitakavyotumika katika mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, ili vikamilike kwa wakati na...
1 Reactions
4 Replies
111 Views
I will be short Former yanga Player Fiston Mayele has converted to Islam . ☪️ Reports say influence from Pyramids players played a major part of his conversion. Kibongo bongo Ni pesa za...
6 Reactions
86 Replies
5K Views
Taifa kubwa, lina hela na linapenda mpira. Inakuwaje ligi ya Tz ni bora kuliko ya Nigeria? Naona wanigeria wengi kama wakenya. Kushabikia zaidi timu za Epl lakini ndani hawana club za maana. Shida...
5 Reactions
22 Replies
370 Views
  • Redirect
▪︎ Ataka kazi ifanyike usiku na mchana inapowezekana ▪︎ Asisitiza mashindano hayo ni fursa kubwa ya kiuchumi kwa Tanzania WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza kuongezwa kasi ya ujenzi wa...
1 Reactions
Replies
Views
Thamani ya Simba ni mashabiki wake na nembo yake. Mashabiki na nembo ya Simba ni zaidi ya Tsh 500b. Hii thamani ndiyo iliyomfanya mo aachane na Singida United na kuja Simba. Hela zoooooote...
6 Reactions
46 Replies
445 Views
Mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC, Yanga SC, wameendeleza kasi yao katika msimu mpya baada ya kuichapa Coastal Union mabao 4-1 katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa KMC Complex. Yanga ilionyesha...
5 Reactions
59 Replies
1K Views
Mario Balotelli ni mshambuliaji wa Italia mwenye asili ya Ghana, aliyezaliwa 12 Agosti 1990, nchini Italia. Alianza kujulikana akiwa na Inter Milan, ambako alishinda mataji kadhaa chini ya José...
0 Reactions
3 Replies
51 Views
Wakuu mambo niaje? Kwa hapa Kariakoo ni duka gani naweza kupata jezi za zamani za clubs za Uingereza kama hizi?
0 Reactions
8 Replies
72 Views
Miaka tisa iliyopita, Kylian Mbappé na Bernardo Silva walikuwa sehemu ya kikosi cha Monaco kilichotikisa soka la Ulaya mwaka 2017. Wawili hao walicheza pamoja katika kikosi hicho kabla ya...
0 Reactions
0 Replies
39 Views
Taja game unalolipenda umpate mwana hapa mwenzio Kichwa hakina miguu,tuenedelee tulipoishia…
1 Reactions
8 Replies
123 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…