Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Baada ya Klabu ya Yanga kumtangaza Selemani Mwalimu katika kikosi chao, Meneja wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally ameandika ujumbe mzito ulioambatana na picha ya...
0 Reactions
4 Replies
291 Views
Ahamed Ally aliotea mapema usaliti wa Selemani Mwalimu kwenda Yanga, hakumtaja kwenye kikosi kilichofanya vizuri na simba msimu uliopita.
2 Reactions
1 Replies
139 Views
Utambulisho wa Selemani Mwalimu , kwa Simba yangu ni uhuni unaoendelea Simba , msituone sisi ni wajinga nyie viongozi majahili wa Simba
23 Reactions
121 Replies
2K Views
Uongozi wa Simba unaendelea kukabiliwa na changamoto mbalimbali ambazo zimeanza kuibua maswali mazito miongoni mwa mashabiki wa klabu hiyo. Miongoni mwa maeneo yanayoonekana kuwa na changamoto...
1 Reactions
5 Replies
142 Views
Mzabuni wa Jezi za Simba SC, CPA Joseph Rwegasira akiwa ndani ya CrownsTv kwenye uzinduzi wa kampeni ya X-Factor
1 Reactions
9 Replies
273 Views
Ngoja nitafute kabisa Demu wa Kuniliwaza Kesho, kwani ninajua nitapata Machungu ya Kipigo cha ''Kishalubela'' Zenji.
1 Reactions
4 Replies
120 Views
Nakuheshimu tu sitaki Kukupiga Madongo kwakuwa ni Mtani wangu kutoka Mkoani Kagera ila acha Kutuzingua sawa?
3 Reactions
6 Replies
158 Views
Kwa wenzetu mnaeijua vizur ligi yetu na timu zake je tokea kipindi cha siasa za vyama vingi je ilishawai tokea ingawaje timu hazina vyama
1 Reactions
14 Replies
311 Views
Tarehe 12 Agosti, macho ya mashabiki wa soka Tanzania yataelekezwa Amaan Stadium, Zanzibar, ambapo Simba na Yanga watakutana katika mchezo wa Ngao ya Jamii. Hii si mechi ya kawaida. Ni Derby ya...
0 Reactions
2 Replies
191 Views
Kuna wachezaji wabovu hasa wa kigeni waliwahi kusajiliwa kwa mbwembwe na timu za Simba na Yanga ila wakaishia kuondoka nchini kimya kimya kutokana na uwezo wao mdogo hata kufikia kushindwa kiuwezo...
3 Reactions
155 Replies
31K Views
Fei Toto alitoka Yanga ikiwa haina kombe la CAF na yuko Azam ambayo haina kombe la CAF. Yanga ilikuwa inashinda vikombe vya ligi ikiwa na Fei na inaendelea kushinda bila Fei. Aliikuta Azam ikiwa...
4 Reactions
9 Replies
210 Views
Kati ya misimu miwili au mitatu tumeona ngao ya jamii ikigombaniwa na timu nne ila msimu huu ni timu mbili. Kwamba ikionekana simba na yanga hawakutani kwenye hiyo mechi kanuni ya timu nne ndio...
2 Reactions
11 Replies
284 Views
Kuna mjadala mpya unaoibuka kwenye soka la Tanzania baada ya klabu ya Yanga kutumia kwa nguvu zaidi jina “Yanga Day” katika tamasha lake la mwaka 2026. Kwa miaka kadhaa, tamasha hilo limekuwa...
3 Reactions
2 Replies
100 Views
Badala ya kuleta wachezaji makini na hodari mnaleta Simba wa porini toka ngorongoro. Sio mbaya watu wengi wa Dar hawana uwezo kwenda mbugani kuangalia wanyama. Mbaya zaidi Straika anasaidia timu...
3 Reactions
6 Replies
180 Views
Si mmejionea wenyewe Yaani mmempa authority kama vile yeye ni Mungu wenu, Sasa yeye ndo kawa kocha Ndo maana mmefungwa na mpira mmechezewa
10 Reactions
54 Replies
1K Views
Nimeona hii taarifa kwenye official page ya Club,mwenye kujua kwa undani nini kimefanyika huko Bunju.
4 Reactions
26 Replies
896 Views
Klabu ya Yanga Sc imekubali kichapo cha bao 1-2 dhidi ya Les Aigles Du Congo katika mchezo wa Yanga Day uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru. Matokeo hayo yamekuja katika kilele cha maadhimisho ya...
1 Reactions
109 Replies
2K Views
Sisi kama wana Dar es Salaam Young Africans, tuna unga hoja za Mangungu akiwa kama kiongozi halali wa Simba na tena maamuzi yake yaheshimiwe na wanachama pamoja na viongozi wote wa Simba..
2 Reactions
5 Replies
182 Views
Limeshaharibu tayari. Vinyimbo vyenyewe viwili tu visivyo na maana yoyote halafu mnaliita kuja kuishia kuleta mambo ya kijinga tu.
12 Reactions
98 Replies
1K Views
Nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya Uganda, Emmanuel Arnold Okwi, ametangaza rasmi kustaafu soka la kulipwa baada ya miaka mingi ya mafanikio uwanjani. Kupitia ujumbe wake, Okwi amesema uamuzi...
5 Reactions
16 Replies
334 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…