Ukisikia mwana Simba anamponda Mpanzu, na Kibu Dennis ujue huyo ni msukule wa utopolo.
Nakuhakikishia hawa wachezaji wakienda upande wa pili,mtalia kilio cha mbwa nyie.
Mtu anayeona vizuri...
Ni kipindi cha pili, team zote hazijafungana.
Tanzania ipo kundi A inashika nafasi ya nne ikiwa na point 1 katika michezo mitatu iliyocheza ukiwemo huu (miwili iliotangulia Tanzania wamepigwa).
Katika ibada ya Leo tarehe 6/04, Mtume Boniphace Mwamposa amekiri kupokea mualiko wa Simba SC kuhudhuria na kuwaombea kuhusu mechi ijayo ya tarehe 9/04/2025.
Ameahidi kuhudhuria au kutuma...
Wakuu,
Ni mdogo wangu wa damu anaitwa Charles masanja ana umri wa miaka 12 anakiwasha sawa sawa anacheza nafasi zote za mbele namaanisha namba 8,9,10,11 na 7
Anakipaji kikubwa Sana,kipaji chake...
𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄...!
Kwa Mujibu wa AfrikaFactsZone Hawa Hapa ni Wachezaji Wanaolipwa Zaidi Katika Ligi za Afrika Kila Mwaka.
01: Egypt 🇪🇬 - Ali Maaloul 🇹🇳 | $1.5 million | Al Ahly
02: South Africa 🇿🇦 -...
Utangulizi;
Nchiniki TZ kiongozi anaweza kuamua jambo la umma anavyotaka, mtajua wenyewe mfikiriaje!
Hoja kuu;
Juzi kati timu ya Singida walizindua uwanja wa kuchezea mpira mzuri tu. Mpaka hatua...
Hii mechi Simba angetuliza kichwa angeshinda goli nyingi ila ametia pressure nyingi mkiita hamasa hili ndo litawagharimu
Nimeshangaa viongozi wakubwa wa Simba wakipuuza mbinu ya Al Masry...
GSM mungu anakuona
Mwambusi aliacha kazi Yanga huku machozi yanamtoka kwa kugombana na GSM
Mwambusi alisikika kwenye mitaa ya makorola Tanga kuwa lazima awakazie Yanga.
Kufumba na kufumbua...
PSG Mabingwa wa Ligue 1 huku mechi Sita zikiwa zimesalia, bao la Desire Doue lawawezesha kutwaa Taji
Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligue 1 mapema, baada ya...
Wakuu wiki nzima hii .imi kama mchambuzi nimehangaika sana kufanya analysis Ili Simba ashinde Kwa mkapa .....chaajabu Kila nikipanga kikosi then nikifanya time traveling ( yaani nikirukia tarehe...
“Wapo watu wanasubiri tufeli waanze kutukebehi sasa tutumie kila tulichonacho kwenda nusu fainali. Na tukimuangalia mwarabu tunayecheza naye huyu ni wa kawaida kabisa. Katika waarabu tumewahi...
Chama cha soka Mkoa wa Mbeya kesho aprili 6, kinatarajia kufanya uchaguz wa kuwapata viongozi wake lakini cha ajabu kuna madudu ambayo yanaweza kusababisha maafa jambo ambalo ni muhimu kwa...
Kevin De Bruyne announces he will LEAVE Man City this summer in emotional statement - and now big money deal in Saudi or US beckons
Kevin De Bruyne has confirmed he will leave Manchester City...
Nimefuatilia uchambuzi wa wachambuzi wenzangu ....nimesikitika sana .....lakini pia nimecheka sana.....Kila mchambuzi anasema eti Simba Kwa mkapa atapindua meza[emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.