Leo katika timu zinazopambana kesho kati ya Simba na hao waarabu wanajiitaje sijui Sasa wakati wanakuja wakakataa kupita mlango official ambao kila mtu anatakiwa kupita
Wao wakaenda kupita mlango...
“Kuna watu hawataki tuendelee hivyo wanawatumia baadhi ya watu wetu wa ndani. Wanasimba wote njoeni uwanjani, na jamaa pia njoeni muone, hata wakitaka wavae misuli njoeni kushangilia timu yetu...
Leo mechi ni nyingi. Za majuu uefa champions league na Africa champions league.
Wapi pa kuangalia mechi kama nne Kwa pamoja hapa DAR? Bar au pub au kibanda umiza?
Asante.
Joseph Lazaro, beki wa zamani wa kushoto wa Coastal Union akiwa msaidizi wa marehemu Douglas Mhani enzi zile za marehemu Hamis Makene, benchi akiwa Mohamed Mwameja, kulia Saidi Kolongo, kushoto...
TFF na bodi ya ligi baada ya kukaa wameazimia Kufuta matokeo yaliyotokea huko Egypt Simba kupigwa goli 2
Bodi ya ligi imejiridhisha kuwa Simba walionewa baada ya kuzuiwa kufanya mazoezi
Pia bodi...
Ilichukua miaka 53 toka mara ya mwisho Yanga kucheza robo fainali ya CAFCL hadi waliporudia tena msimu wa 2023-24.
Kama tukienda na takwimu hizi zinavyosema, na tukiangalia mwenendo wa hii timu...
Huu ni utabiri wangu juu ya yajao kwenye soka la Tanzania.
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
SIMBA kwa mara ya kwanza 2025 inakwenda kuwa bingwa wa michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika...
Ndugu wanasimba
Hayo ndiyo matokeo ya kesho twendeni tukakamilishe ratiba, Heshima ya uwanja wa mkapa ishapotea zama zile hazipo tena. Tujipange kwa msimu ujao
FT Simba 0 al masry 0.
“Nafahamu wote kwa pamoja tuna hamu ya kupata matokeo katika mechi hii lakini matokeo haya kuyapata kwa kushinda na kufuzu. Sisi tumeweka mazingira mazuri ambayo yataiwezesha timu yetu kufuzu.”...
Kinda wa Leicester City, Jeremy Monga jana usiku aliweka rekodi ya kuwa mchezaji wa pili kwa umri mdogo kucheza EPL.
Kwakuwa Monga yuko chini ya miaka 18, hivyo jezi yake haikuwa na maandishi ya...
Baada ya kufanikiwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Mbeya, Elias Mwanjala amewahakikishia wana Mbeya na wapenzi wa soka kiujumla kushirikiana na serikali ili...
Habari za kikachero zimebainisha kwamba mpaka sasa kwa mujibu wa report zilizotumwa katika mahakama ya usuluhishi wa michezo (CAS) kutoka pande zote, mpaka sasa imebainika kwamba sababu za utetezi...
Kwa Mkapa sio eneo tena la ufalme wa Simba kwa sasa. Ukifuatilia vizuri hivi karibuni amekuwa akipata matokeo kwa mbinde sana akiwa kwa Mkapa.
Nakumbuka Kirumba Mwanza meneja alikuwa mzee...
Mambo ya kishamba, luck of profesionalism ,
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana mwenendo wa timu yetu ya Simba, na kwa kweli, nimesikitishwa sana na taarifa zinazoenea kuhusu timu kukimbilia...
Wakuu mimi ni Mgeni katika mkoa huu wa IRINGA, lakini pia ni mchezaji wa basketball, Ningependa kama kuna mwenyeji au yeyote anayefahamu viwanja vya basket iringa vinapatikana wapi.
Naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.