Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Baada ya kufanikiwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Mbeya, Elias Mwanjala amewahakikishia wana Mbeya na wapenzi wa soka kiujumla kushirikiana na serikali ili...
0 Reactions
2 Replies
386 Views
Habari za kikachero zimebainisha kwamba mpaka sasa kwa mujibu wa report zilizotumwa katika mahakama ya usuluhishi wa michezo (CAS) kutoka pande zote, mpaka sasa imebainika kwamba sababu za utetezi...
9 Reactions
29 Replies
2K Views
Kwa Mkapa sio eneo tena la ufalme wa Simba kwa sasa. Ukifuatilia vizuri hivi karibuni amekuwa akipata matokeo kwa mbinde sana akiwa kwa Mkapa. Nakumbuka Kirumba Mwanza meneja alikuwa mzee...
-1 Reactions
7 Replies
798 Views
Mambo ya kishamba, luck of profesionalism , Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana mwenendo wa timu yetu ya Simba, na kwa kweli, nimesikitishwa sana na taarifa zinazoenea kuhusu timu kukimbilia...
7 Reactions
15 Replies
755 Views
Natarajia hii itakuwa ni game kali siku ya leo kulingana na performance ya timu hizi mbili.
2 Reactions
1 Replies
269 Views
🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SC🆚Coastal Union 📆 07.04.2025 🏟 KMC Complex 🕖 10:00 Jioni #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko Kikosi kinachoanza dhidi ya Coastal Union🔰💪🏽...
14 Reactions
110 Replies
8K Views
Wakuu mimi ni Mgeni katika mkoa huu wa IRINGA, lakini pia ni mchezaji wa basketball, Ningependa kama kuna mwenyeji au yeyote anayefahamu viwanja vya basket iringa vinapatikana wapi. Naomba...
4 Reactions
45 Replies
2K Views
00' Mwamuzi anapuliza kipenga kuashiria mwanzo wa mchezo 30' Luis Miquissone anapiga goli la kwanza kwa upande wa Simba 32' Goli la Simba halidumu baada ya Zemanja Soze wa AS Vita kusawazisha...
10 Reactions
781 Replies
65K Views
Ni mechi ya kupindua matokeo na kufuzu hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, leo Disemba 23, 2018 kwa wawakilishi wa Tanzania, Simba SC watakapokuwa wakikwaruzana na Nkana FC kutoka nchini...
28 Reactions
903 Replies
105K Views
Hello Tanzania, Sawubona South Africa! Karibuni katika Kindumbwe ndumbwe cha mtanange wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Africa (Total Energies CAF CC) kati ya wenyeji Simba Sc wa...
13 Reactions
726 Replies
45K Views
Hii club binafsi nashindwa kuielewa ina malengo gani, Wachezaji bora kama Yoro diaby, Gibril Sillah, Fei toto nk. Wote wana viwango vikubwa ila hawajulikani wanapambania kitu gani, sanasana...
8 Reactions
20 Replies
1K Views
Na nilichompendea Referee kasema ataachia Offsides Tatu tu Kipindi cha Kwanza na zikipita wasije Kumlaumu kawauwa. ANGALIZO Sijamtaja hapa kabisa Referee wa Mechi ipi na lini sasa Wewe jifanye...
2 Reactions
6 Replies
622 Views
Ninapenda soka sana.Mimi si muumini wa dini za kishetani ambazo wengi wanaishi nazo na kuzileta kwenye maisha ya kawaida na bila shaka katika soka pia. Kuna aina ya roho za kichawi wengine...
1 Reactions
10 Replies
536 Views
"Kuna Wachezaji wengi wamekuja tumewaombea Mungu amewasaidia wanakwenda Vuzuri naimani hata Simba watafanya Vizuri, Wachezaji wakazane Kufanya mazoezi na Sisi tutakazana kuwaombea
4 Reactions
63 Replies
2K Views
Baada ya kufungwa na Singida, sasa rasmi Azam FC hawatoweza kufikia idadi ya alama walizomaliza nazo msimu uliopita (69) walipokuwa chini ya kocha msenegali Youssouph Dabo, mpaka sasa Azam wana...
3 Reactions
13 Replies
899 Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Hao waarabu wakijiroga na wakawa kichwa ngumu wakatumia chumba Cha kubadilishia nguo hapo Kwa Mkapa tarehe 9 dhidi ya Makolo,namuhakikishia huyo Mwarabu...
2 Reactions
4 Replies
519 Views
Leo nimetazama mechi ya Azam dhidi ya Singida BS nimeshangaa Azam akiweka akiba ya wachezaji wake muhimu Kwa ajili ya Alhamis dhidi ya Yanga Mechi zote za ligi Zina hadhi sawa, yaani Azam yupo...
8 Reactions
46 Replies
3K Views
Alietengeneza hili bango ana chuki binafsi kwa shemeji yetu 🤣
3 Reactions
5 Replies
972 Views
Ni dhahiri Sisi mashabiki wa Simba tuna mapenzi makubwa na timu yetu na tunatamani kuona mafanikio endelevu. Katika kutafakari mwenendo wa timu, ni muhimu kuangalia kwa jicho la tatu aina ya...
5 Reactions
41 Replies
2K Views
Back
Top Bottom