Ndugu wa pale Tandale kwa Mtogore, manzese kwa mfuga mbwa na kwingineko ambako huduma ya luninga inapatikana kwa jumuiya na pengne mnajiuliza kombe la dunia kule bondeni itauwaje....msihofu, FIFA...
TFF wametoa taarifa ya mapato yaliyopatikana katika mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga kuwa ni TZS 239 millioni na jumla ya watu 52,890walishuhudia mpambano huo wa kukata na shoka. Idadi hii...
Simba: Hatuchezi tena na Yanga
Na Suleiman Mbuguni
UONGOZI wa klabu ya Simba umetishia kutocheza mechi na watani wao wa jadi, Yanga, endapo mechi zao zitaendelea kuchezeshwa na waamuzi wa...
Mapato siri Yanga, Simba, TFF
Mahudhurio Yanga, Simba yaficha vurugu
Mwandishi Wetu
WAKATI Shirikisho la Soka Tanzania, TFF likisubiriwa leo kutoa taarifa ya mapato ya mechi ya...
The San Francisco 49ers have already made a coaching change this season. Now they apparently have their eyes on an even more high-profile front office move.
The 49ers have expressed interest in...
Manchester City are on top of premier League with Arsenal after 3-1 win against New Castle United. The Table might change this afternoon when Arsenal take West Ham away from home.
Taarifa zinazojiri hivi sasa ni kuwa ule mpambano wa Simba na Yanga leo upo hatarini kuakhirishwa baada ya kutokea utata kwenye tiketi za mchezo huo. Utata huo umesababishwa na viongozi wa Yanga...
Simba yamong'onyolewa Mwanza
@Yashindiliwa 4-1 na Toto Africans
Na Mwandishi Wetu
TIMU ya Simba jana iliwalaza mapema mamia ya mashabiki wake baada ya kukubali kipigo kitakatifu...
Nigeria U-17 World Cup in doubt
BBC Sports
Umaru Yar'Adua said his government had other funding priorities
Nigeria may be forced to quit as hosts of the 2009 Under-17 World Cup, after...
Ushabiki wa Simba, Yanga waua mmoja
2008-10-22 10:07:46
By Happy Severine, PST, Mtwara
Shabiki wa timu ya Yanga, ambaye ni mkazi wa Magomeni mjini hapa aliyetambulika kwa jina moja la Ndava...
Egypt handed favourable 2010 draw
African champions Egypt will be satisfied with their draw
The draw for the final round of qualifying for the 2010 World Cup and Africa Cup of Nations...
Kuna habari zisizothibitishwa kuwa timu ya Simba wanafikiria kutumia kocha mzalendo kati Abdallah "King" Kibadeni au Syllersaid Mziray " Super Coach". Hali hiyo inafatia matokeo yasiyoridhisha ya...
Daily News; Sunday,October 19, 2008 @20:00
Yanga maintained a five-point gap at the top of Vodacom Premier League with a resounding 3-1 win over Polisi Dodoma at the National Stadium in Dar...
Harambee Stars date with destiny
Updated 5 hr(s) 8 min(s) ago
By Robin Toskin
Harambee Stars wind up their second round of the 2010 World Cup/Africa Cup of Nations in Guinea this...
Wags made us a circus, says Rio
· Stand-in captain blasts excesses of Eriksson's reign as manager
· 'People worried more about what they wore than the football'
· Says Capello's regime is...
Naangalia hii gemu ya England na Kazakhstan.
Ni clear kwamba Gerrard na Lampard hawawezi kucheza pamoja. Yaani kama kila mmoja wao anamtegea mwenzake au ana seize kuexist. Mpaka imebidi wamtoe...
O. J. Simpson Found Guilty in Robbery Trial
O.J. Simpson and his attorney, Yale Galanter, listened as a guilty verdict was read at his trial in Las Vegas.
By STEVE FRIESS
Published: October...
What a shame...........!!
Montgomery sentenced to five years
Friday, 10 October 2008 16:13
Former Olympic gold medal winner Tim Montgomery was on Friday sentenced to five years in prison...