Kulingana na Blog ya Michuzi, Tumeambia Tembo wa Ivory Coast wanategemea kufanya mazoezi hapa Tanzania kujiandaa na Kombe la Africa. Kwa habari zaidi bofya hapa:http://issamichuzi.blogspot.com/...
Habari kutoka blog ya michuzi zinaeleza timu ya Ivory Cost huenda ikaweka kambi nchini Tanzania. Je kwa timu ya Afrika kuweka kambi hapa nyumbani, Taifa litanufaika na chochote au ni kuwaona...
Kuna Wadau wameomba hii nyuzi ianzishwa ili tupate updates za kina Ronaldo na wengineo. Haya kazi kwenu.
Asanteni.
http://www.lega-calcio.it/it.page...
Club ya soka Italy Hatarini kuadhibiwa kwa kuruhusu Kufungwa Goli ili kutoa Fair Play
a very controversial fair play.... they call it a "gesture of kindness" lakini wahusika wa mambo ya soka...
Naona 50 amekuwa so offended na hii kauli ya Jay kwenye AMA last weekend..
Anaongea kama kwa upole hivi but i know he's up to something..na my take nadhani it's all fair kudhani Jay alikuwa...
Zikiwa zimebaki takribani wiki mbili kufikia tarehe 04 December, 2009 ambapo Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) litakuwa likichezesha draw ya kupanga makundi ya timu zitakazo shiriki...
JF
Nitapenda mtu atakayenipa habari zaidi juu ya timu ya Pamba mwanza ambayo kweli ilitisha sana anga za kandanda miaka ya tisini.
ningependa kujua yafuatayo,
a) Hivi yule kocha...
Man City vs Man U
Blackburn vs Aston Villa
Zote kuchezwa January 4.
NB:
Wenger jana alichomoa kupeana mikono na Hughes, ss sijui hiyo ndy FAIR PLAY waisemayo FIFA????
By Phillip Corry
Jan 16 2010, Namboole
E. Holyfield v F. Botha
GOVERNMENT has given full backing for the World Boxing Federation heavyweight title fight between champion Francois Botha, from...
Wakuu baada ya kubadilisha makocha wengi wa muda mfupi sasa nafikiri Chelsea ni Mwendo mdundo msimu huu na mingi ijayo. kwa sasa watu wanasema ni unbeatable yaani haifungiki kirahisi
Timu ina...
Mamia ya wanachama wa Yanga, tangu kutangazwa kwa uamuzi wa kuziweka fomu namba moja hadi 100 kwa ajili ya viongozi, wamekuwa wakitaka kujua na kuona ni viongozi gani wakuu wa kiserikali...
Mugabe: I'm tempted to keep World Cup trophy
Hosts ... President Robert Mugabe, his son Chatunga, First Lady Grace and son Robert Jnr
pose with World Cup trophy in Harare on Thursday...
Tyreke Evans didn't fall as far as Brandon Jennings in the NBA draft, going fourth instead of ninth, but the teams that passed on Evans, the fourth overall choice in June, are beginning to hear...
Mabibi na Mabwana,
Ni furaha kuu kwangu kutoa matokeo ya Mashindano ya Kimataifa ya Bao yaliyofanyika tarehe 21-22 novemba, Torino, Italia.
Tumeendesha mashindano ya vilabu, ambavyo kila...
Hatma Ya Kidole Cha Mrwanda Na Okwi Wiki Ijayo
Danny Mrwanda (kushoto) akishangilia huku akinyoosha kidole kilichokuja kuhusishwa na alama ya matusi kwa mashabiki wa YangaThursday, November 26...
Baada ya mwenyekiti wa sasa wa club ya Yanga Imani Madega kusema hatogembea tena uongozi katika club hiyo je kati ya watu hawa nani anayefaa kuwa mwenyekiti mpya wa YANGA?
1-Tarimba Abbas
2-Ally...
Group A (Luanda): Angola, Mali, Malawi, Algeria
Group B (Cabinda): Cote d'Ivoire, Burkina Faso, Ghana, Togo
Group C (Bengela): Egypt, Nigeria, Mozambique, Benin
Group D (Lobango): Cameroon...
SIMBA imeweza kutengeneza historia mpya kwa kushinda mechi zote 11 za mzunguko wa kwanza na kufikisha pointi 33 katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
Katika mechi yake ya 11 Simba ilipata...