Simba Yaweka Historia Ya Ligi Kuu Bara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Simba Yaweka Historia Ya Ligi Kuu Bara

Discussion in 'Sports' started by Babuji, Nov 16, 2009.

 1. B

  Babuji Senior Member

  #1
  Nov 16, 2009
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  SIMBA imeweza kutengeneza historia mpya kwa kushinda mechi zote 11 za mzunguko wa kwanza na kufikisha pointi 33 katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

  Katika mechi yake ya 11 Simba ilipata ushindi mnono wa mabao 3-1 dhidi ya Mtibwa Sugar Jumapili iliyopita.

  Source: www.nifahamishe.com
   
 2. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Mwaka huu kanda mbili si wetu du naskia tupo mtu 4!!!!
   
 3. Kyakya

  Kyakya JF-Expert Member

  #3
  Nov 26, 2009
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 397
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35

  Mwaka huu memekuwa Katambuga
   
Loading...