Ivory cost kupiga tizi tanzania

Ivory cost kupiga tizi tanzania

bnhai

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2009
Posts
2,846
Reaction score
2,402
Habari kutoka blog ya michuzi zinaeleza timu ya Ivory Cost huenda ikaweka kambi nchini Tanzania. Je kwa timu ya Afrika kuweka kambi hapa nyumbani, Taifa litanufaika na chochote au ni kuwaona wachezaji nguli wa Ulaya tu?
 
Back
Top Bottom