Ivory Coast Kufanya Mazoezi Dar Es Salaam

Shadow

JF-Expert Member
May 19, 2008
2,897
671
Kulingana na Blog ya Michuzi, Tumeambia Tembo wa Ivory Coast wanategemea kufanya mazoezi hapa Tanzania kujiandaa na Kombe la Africa. Kwa habari zaidi bofya hapa:http://issamichuzi.blogspot.com/
Wenye data zaidi mwageni hapa jamvini!
 
Waletewaleteee... Hata habar hii hata ispokua ya kweli naamini tutapokea timu kubwa 2 kwa ajil ya mazoez coz pitch le2 c haba plus hali ya hewa ya Dar inakaribiana na baadh ya miji kule SA km Port Elizabeth, Durban ambako mech za kombe la dunia zitachezwa.
 
Breaking news!

Masa na Belinda, sasa Tenga na JK naona wanataka kuwaletea Drogba na Kalou, Kina Toure et al. Natumaini watu wa darajani mmeshaandaa kuomba sahihi za Drogba kwenye picha zake
 
Masa na Belinda, sasa Tenga na JK naona wanataka kuwaletea Drogba na Kalou, Kina Toure et al. Natumaini watu wa darajani mmeshaandaa kuomba sahihi za Drogba kwenye picha zake

Hahahah usisahau kupiga nao picha mazee! hahahahaah
 
Hahahah usisahau kupiga nao picha mazee! hahahahaah

Mkuu Masa,

Itabidi Tenga amweke Didier tumweke kama Kombe la Dunia pale uwanja wa taifa.Unapiga picha naye ahahahah. Samsung wanaweza kupandia hapo pia.
 
Mkuu Masa,

Itabidi Tenga amweke Didier tumweke kama Kombe la Dunia pale uwanja wa taifa.Unapiga picha naye ahahahah. Samsung wanaweza kupandia hapo pia.

Umeona kundi la Ghana? Kwa kweli sina imani kama timu za Africa zitatutoa kimasomaso.....Spain mwakani wasipopata majeraha wanaweza beba mwali wa dunia...waonaje mkuuu?
 
Umeona kundi la Ghana? Kwa kweli sina imani kama timu za Africa zitatutoa kimasomaso.....Spain mwakani wasipopata majeraha wanaweza beba mwali wa dunia...waonaje mkuuu?

Nimeona mkuu, hiyo droo imeiacha Afrika kwenye mtego mkubwa sana.Ghana kwa kweli na hilo kundi la kifo duh! wakati mwingine huwa nasema kuna sayansi za ajabu ajabu huko FIFA kwenye hizi droo. Kuongezea Spain na Wadutch wanaweza kufika mbali ila wanamkosi sana hawa jamaa.
 
Back
Top Bottom