Mashirika ya Utangazaji ya Umma ni Wajibu wenu kupromoti matukio ya kitaifa ikiwa ni pamoja na kuonesha mechi za Timu ya Taifa.........................siku hizi ni kama mnajisahau vile
...Wana JF nimekuwa nikipata shida kujua kati ya hizi timu kubwa za soka la BONGO yaani SIMBA na YANGA nani anawashabiki wengi hapa Tanzania na other East Africa countries.......? Mwenye data...
Ligi ya Tanzania bara itafikia kilele tarehe 10/04/2011.
Timu zote zinatakiwa kushinda kwa idadi kubwa ya magoli ili kutwaa ubingwa.
Yanga inatakiwa kuifunga Toto, wakati Simba inatakiwa kuifunga...
Wayne Rooney amesema "amesikitishwa" kwa kukosa mchezo wa nusu fainali ya Kombe la FA dhidi ya Manchester City, baada ya rufaa yake kutupiliwa mbali na kutakiwa kutumikia adhabu ya kutocheza mechi...
Naona yule mcheza basketball maarufu kule US LeBron James ameamua kuwekeza kwenye timu bora na yenye mafanikio zaidi England.
LeBron James to hold minority interest in Liverpool Football Club -...
Tanzania Football Federation
Kwa kweli nimevutiwa na tovuti ya TFF ilivyo sasa hivi mara ya mwisho kuitembelea ilikuwa haivutii kabisa hivyo niliachana nayo, lakini leo nimeipitia inavutia...
Kila week end napata presha kabisa, yaani timu ua vitu ninavyo shabikia kwa sasa vyote ni hovyo kabisa.
football Tz: Yanga
Footbal UK: Arsenal
Footbal Spain: Real Madrid
Formula 1: Ferrari
Moto...
Natamani mechi ya mwisho ya ligi mwaka huu ingekuwa ya Yanga Vs Simba . Nadhani TFF nao wanamezea mate kupita maelezo ila ndio ishatoka hivyo.
Kwa wapenzi wa Simba iwapo Yanga itashinda bao 1-0...
SIMBA:Klabu ya Esperance imethibitisha kwamba mchezaji Javier Besala Bokungu aliyeichezea Mazembe katika mchezo wa kwanza dhidi ya Simba ni mchezaji wao halali. Kwamujibu wa habari zilizopatika...
Wrestlemania 27 took place in
Atlanta, Georgia on April 3, 2011.
The
largest event in wrestling was a
massive spectacle, featuring the
biggest names in the WWE, including
old-timers like...
Jamani naomba kupata updates za mechi kati ya Simba na maafande wa Ruvu JKT unaochezwa leo kwenye shamba la Bibi Temeke mwenzenu niko mbali sina njia ya kupata matokeo zaidi ya hapa jamvini...
Nimeangalia mechi ya Madrid na Totenham jana, nimegundua kwamba Adebayor bado ni striker hatari sana, Alikua anabaniwa tu pale man city, kapiga bao 2 safi sana za kichwa. Nadhani Mzee Wenger...
Ktk mambo yaliyokuwa ya kujifunza na kuvutia kutoka kwa washangiliaji wa tp mazembe ni namna ambavyo walikuwa na mori na kuhamasisha wachezaji wao toka mwanzo hadi mwisho wa mchezo.Namna ile...
Mara nyingi ninapoangalia timu yetu ya Taifa ikicheza nawakumbuka sana wachezaji wa zamani. kama hawa wafuatao:-
Idd Pazi, Mohamed Mwameja, Zamoyoni Mogella, Said Mwanga Kizota, Damian kimti...
Baada ya kipigo cha Simba toka kwa TP Mazembe nimeanza kuhisi huenda na majina ya timu yana mchango katika ushindi hata kabla ya mechi, mfano jina kama TOUT POUISANT MAZEMBE ENGLEBERT linatisha...
Sosthenes Nyoni
NDOTO ya mabingwa wa Tanzania, Simba kusombe kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika imebaki hadithi baada kupokea kipigo cha mabao 3-2 kutoka kwa TP Mazembe jana kwenye Uwanja...