style ya ushangiliaji ya kukundi cha tp mazembe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

style ya ushangiliaji ya kukundi cha tp mazembe

Discussion in 'Sports' started by bandubandu, Apr 6, 2011.

 1. b

  bandubandu Member

  #1
  Apr 6, 2011
  Joined: Dec 19, 2010
  Messages: 97
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  Ktk mambo yaliyokuwa ya kujifunza na kuvutia kutoka kwa washangiliaji wa tp mazembe ni namna ambavyo walikuwa na mori na kuhamasisha wachezaji wao toka mwanzo hadi mwisho wa mchezo.Namna ile inasaidia hata wachezaji kujituma uwanjani,kilikuwa ni kikundi kdg tu cha washangiliaji takribani kati ya hamsini na sitini kilichokuwa kikipiga matarumbeta,saxerphone na kuimba kiliufanya uwanja mzima uwe unasikika sauti zao na ngoma.
   
Loading...