Ushabiki ni shida kwelikweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushabiki ni shida kwelikweli

Discussion in 'Sports' started by mwanapolo, Apr 3, 2011.

 1. mwanapolo

  mwanapolo Senior Member

  #1
  Apr 3, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kila week end napata presha kabisa, yaani timu ua vitu ninavyo shabikia kwa sasa vyote ni hovyo kabisa.
  football Tz: Yanga
  Footbal UK: Arsenal
  Footbal Spain: Real Madrid
  Formula 1: Ferrari
  Moto GP: Yamaha team with Lorenzo.
  Tennis: Roger Federer

  Hiyo list hapo juu inaonyesha jinsi gani ninavyo pata presha kila weekend, ushabiki wa kweli huwezi hama timu lazima ukomae hatakama matokeo ni mabaya :angry:!!
   
 2. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,090
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo trend haraka haraka i can guess wewe ni mshabiki wa ccm
   
 3. mwanapolo

  mwanapolo Senior Member

  #3
  Apr 4, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Siko kwenye siasa mkuu
   
 4. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #4
  Apr 5, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,328
  Likes Received: 469
  Trophy Points: 180
  Gonga mkuu mwanapolo,nami nakuunga mkono,tunatofautiana namba 3 tu.Presha presha tuu..aaahh...
   
 5. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #5
  Apr 5, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,664
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  dah mkuu kweye list hapo mimi ondoa zote bakiza Arsenal alafu ongeza Juventus ...:disapointed:
   
 6. NG'OTIMBEBEDZU

  NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member

  #6
  Apr 5, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Usife moyo, Yanga, Arsenal and Real Madrid bado zinaweza kushinda ligi kwa vile hazipo katika nafasi mbaya, Ferari tutamrudisha Schumacher, kuhusu Roger Federer ni suala la wakati tu kabla hujampata mwingine, kama mimi nilivyokuwa kwa Pete Sampras na sasa hayupo tena nikahamia kwa Carlos Moya na baadae kwa Rafa Nadal.
   
 7. k

  kilimajoy Senior Member

  #7
  Apr 5, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 130
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Duh! Pole sana...mie hapo sina hata moja ninayoshabikia... kwa upande wangu nimelenga sana.... Simba, Man U, Barca, Rafael Nadal, na chama nacho nipo CDM .... mambo safi....
   
 8. K

  Konaball JF-Expert Member

  #8
  Apr 6, 2011
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,538
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  1-azam fc
  2-new castle united
  3-napol
   
 9. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #9
  Apr 6, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,676
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Men, you need some :help:

  Ila pole sana Chali aa, chali angu.....
  Wape hi wana Apollo wote Mererani
   
 10. mwanapolo

  mwanapolo Senior Member

  #10
  Apr 6, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wanapolo wako poa, wanavuta kiroba tu, karibu tusomoe!
   
 11. mwanapolo

  mwanapolo Senior Member

  #11
  Apr 6, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  At least tumepata matokeo this week.
  Lorenzo kashinda spain ingawa kwa bahati. Real kamkanyaga hasimu wangu 4.0 UEFA. Hope more result will come on ma side this week.
  Presha itapungua sasa
   
 12. mwanapolo

  mwanapolo Senior Member

  #12
  Apr 7, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Matokeo mazuri mengine kwa yanga leo. Mambo yanaenda vizuri. Nimefurahi
   
Loading...