Timu ya Taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Timu ya Taifa

Discussion in 'Sports' started by Blaki Womani, Mar 30, 2011.

 1. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,467
  Likes Received: 3,738
  Trophy Points: 280
  Mara nyingi ninapoangalia timu yetu ya Taifa ikicheza nawakumbuka sana wachezaji wa zamani. kama hawa wafuatao:-
  • Idd Pazi, Mohamed Mwameja, Zamoyoni Mogella, Said Mwanga Kizota, Damian kimti, Edward Chumila, Ramadhani Lenny, Hamis Gaga, Madaraka Selemani, George Masatu, Edibli Lunyamila, Ntezi John, Twaha Amidu, Peter Tino, Gebo Peter, Nico Njoole, Deo Njoole, Sekiloji Chambua, Keneth Mkapa, Method Mogella, Mackenzie Ramadhani,Abubakari Salum na wengineo
  hivi ingekuwaje kama serikali ingekuwa makini katika michezo enzi hizo kama inavyojitahidi sasa
  Angalau tungekuwa hata tumeingia kwenye moja ya mashindano barani Afrika

  imeshindakana kabisa kutengeneza timu ya Taifa ambayo inaweza angalau kutufurahisha hata kucheza kwenye komba la mataifa ya Afrika mbali na kombe la dunia
   
 2. NG'OTIMBEBEDZU

  NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  MacKenzie Ramadhani hakuwa mchezaji wa Taifa Stars, labda kwao Burundi.
   
 3. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  BW wengine hawakuwa raia ktk list yako,halafu mboni umitaja majina ya wachezaji karibu timu moja ttu ya kipindi fulani?Zama zaidi.
   
 4. NG'OTIMBEBEDZU

  NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Wakati huo wachezaji wote wazuri Tanzania walikuwa wanazaliwa kwa ajili ya kuchezea timu moja tu, SSC.
   
 5. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Swadakta
   
 6. dazu

  dazu JF-Expert Member

  #6
  Apr 3, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 365
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Damian Kimti hakuwa mchezaji wa timu ya taifa ya tz. Halafu siyo kila wa zamani ni wazuri kuliko wa sasa, mfano Twaha Hamidu hakuwa mzuri kumzidi Stephano Mwasika wa sasa kwenye beki 3, halafu angalia vizuri majina yao
   
 7. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #7
  Apr 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Poor assumption. Umesahau hata mataifa mengine yalikuwa na vipaji ambavyo sasa havipo. Linganisho na timu ya zambia ya kipindi hicho, akina lucas simwanza achilia mbali karusha bwalya. Cameroon walikuwepo akina makanack, beye n.k. Acha bana!
   
 8. b

  bandubandu Member

  #8
  Apr 5, 2011
  Joined: Dec 19, 2010
  Messages: 97
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  kwa hili la kumlinganisha twaha hamidu noriega na mwasika sikubaliani na ww hata kdg,Twaha hamidu ilikuwa ni habari nyingine maana alikuwa ni fundi wa kutupa.Angalia jinsi alivyokuwa akikaba,akipanda kwa kasi kushambulia na cross alizokuwa akipiga
   
Loading...