huyu demu anatisha kama Ronaldinho

Amazing...timu ya wanawake wanatakiwa wamchukue kwa majaribio anaweza kutufaa huyo.
 
huyu demu ni noma, anapatikana Morogoro.
Balaa tupu!! ana stamina ya ajabu!! anaweza kupiga danadana 100 kwa kichwa at one go, na kwa siku anaweza kufanya hivyo mara 20 na zaidi.

Just crazy!
 
hiki ni kipaji cha ajabu mkuu, demu anatisha kinoma, halafu hapo kavaa skirt, angepewa bukta ingekuwaje?
 
Nipeni namba yake. Huyo anatakiwa kufanya majaribio nje ya bongo. Hapo tz watambemenda tu. Maana kina Lundenga wapo mpaka kwenye soka ha ha ha. Kwa kweli kipaji chake kipo juu. Wanaiweza kumsaidia mpeni shavu
 
kumbe kuna talanta zilizofichwa huko....ni wa wapi huyu?
Ila anaweza akawa anajua kupiga danadana lakini hajui kupiga chenga.........:Cry:
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom