Simba's Stadium to Cost 75 Billion

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
18 April 2011

A TURKISH firm, Petroland Alliance Company, has set up a budget estimate of US 50m dollars for construction of a new stadium for the Mainland soccer giants, Simba Sports Club.
The company's official, Emre Mustafa, said in Dar es Salaam on Monday it has proposed to construct an ultra-modern stadium whose size will cover 20, 000 square metres at the club's plot located at Bunju, on the outskirts of the city.

The company has been contracted by Simba to construct the venue, which is expected to end the long standing lack of stadium the club has experienced.
Mustafa presented different models of modern stadiums to a section of members of Simba's executive committee and the latter were expected to choose the one that will suit the club depending on the ability to meet construction costs.
He said the stadium, once completed, will prove to be a reliable source of income based on attractive turnovers that will be accrued from different business projects that will be established around the premises.
"The stadium's construction might seem very expensive but, once the project is completed, it will change the fans' negative perceptions and they will, instead, be supportive of the initiative," said Mustafa.

"If you will have a stadium like the one we have proposed to construct, the fans (Simba's) will start to love the club more and will be more committed to fighting the club's prosperity," he added.
He pointed out that accessibility to the stadium has been taken into consideration in which his firm has proposed to set up a bus charter to help fans reach the stadium comfortably and in a manner that could inspire them to support their team strongly.
The firm's country representative, Mandaro Mandaro, said there are also plans to set up a shopping mall at the stadium with a view to attracting people even when the venue does not host matches.
"We will also put entertainment spots for hosting various concerts regularly, so, hopefully, the stadium will be one of a kind," said Mandaro.
The Petroland Alliance Company also has a base in Djibouti, where it has undertaken several major construction projects including concrete batching plant and laboratories.
Simba's member of executive committee, Swedi Mkwabi, said it was now up to the committee to meet and discuss the plan prior to coming up with the agreed construction budget.
The club's secretary general, Evodius Mtawala, added that the executive committee members are expected to meet in the city tomorrow to discuss the matter as part of the initial process of setting up the budget.
"This is one of big projects that the club has come up with this year. We are now determined to turn our club into a more scientifically managed entity in future,", he added.

SIMBA SPORTS CLUB ARENA

MHANDISI TOKA KAMPUNI YA PETROLAND -ALLIANCE YA UTURUKI EMRIE CAKIR MUSTAFA AKIZUNGUMZIA JUU YA UJENZI WA UWANJA WA KISASA WA KLABU YA SIMBA UTAKAOJENGWA HUKO BUNJU, NJE KIDOGO YA JIJI LA DAR ES SALAAM.UWANJA HUO UTAKAPOKAMILIKA UTAKUWA NA UWEZO WA KUINGIZA WATU 30,000 UTAGHARIMU ZAIDI YA SHILINGI BIL.75 ZA KITANZANIA.

UWANJA wa kisasa unaotarajiwa kujengwa na klabu ya soka ya Simba ‘Simba Sports Arena' unatarajiwa kugharimu zaidi ya shilingi bil.75 za kitanzania, utakuwa na sehemu za kufanyia manunuzi, hoteli, kumbi mbili za mikutano kwa ajili ya watu mashuhuri ‘VIP' ambapo kila ukumbi utakuwa na uwezo wa kuingiza watu 80, pamoja na mgahawa utakaoingiza watu 250.
 
this is how we do
Gangchomba,Balantanda mpo bandugu? najua mtakuwepo kwenye ufunguzi!!
 
Hili likitimia ile maana hilisi ya kucheza uwanja wa nyumbani nayo itatimia,sio mnacheza na timu ya kigeni nusu uwanja wanashobokea wageni,nikiwa na maana kwa Afrika timu nyingi za nje kama sio zote washabiki hawasafiri na timu,na mkiwa na uwanja vibaraka mnaweza kuwadhibiti.
 
atakuwa hatoki mdudu/swala/kandambili waterx2 /yaani mdudu yoyote akija sisi tutararua tu . jamani hadi raha
 
A TURKISH firm, Petroland Alliance Company, has set up a budget estimate of US 50m dollars

Mustafa presented different models of modern stadiums to a section of members of Simba's executive committee and the latter were expected to choose the one that will suit the club...

"If you will have a stadium like the one we have proposed to construct, the fans (Simba's) will start to love the club more and will be more committed to fighting the club's prosperity," he added.

"We will also put entertainment spots for hosting various concerts regularly, so, hopefully, the stadium will be one of a kind," said Mandaro.

The Petroland Alliance Company also has a base in Djibouti, where it has undertaken several major construction projects including concrete batching plant and laboratories.
Watanzania mbona tunapenda kufanywa majuha na wageni?

Mjenzi anasema design aliyotuchagulia itatufaa! Mjenzi anasema ame "set aside $ 50m." Sio Simba ndio iseme imetenga ngapi? Kampuni lina uzoefu wa kujenga ma laboratory ndio limeletwa kwetu kujenga stadium, sijui limepatikana kwa tender gani? Eti wamewaonyesha Simba designs kibao wachague. Please!

Simba walitakiwa waalike proposals moja moja za kampuni nyingi, sio proposals nyingi za kampuni moja!

Li uwanja litakuwa worse kuliko hili jipya la Taifa la Wachina ambalo watu wa kwenye bleachers (juu kabisa, tiketi rahisi) wanapata kivuli maana pameezekwa halafu wa big ticket pale chini wanachapwa na jua na mvua.
 
hiyo design ya uwanja umeiona lakini? inabidi tuione kwanza
 
Maajabu ya Tanzania, Simaba wanataka kujenga uwanja wa Bil 75 huku wanachangishana mill 100 ya kununua kiwanja!!!
 
Maajabu ya Tanzania, Simaba wanataka kujenga uwanja wa Bil 75 huku wanachangishana mill 100 ya kununua kiwanja!!!

Sio lazima walipe cash; wanawadhamini ambao wanaaminika na ndio watadhamini; Ujuke kwamba wahisani wamefurahi wanajua watapata pesa zao sababu hata usafiri kwenda uwanjani ni Mabasi Maalum ya Simba yatakayowachukuwa washabiki kwenda Uwanjani na Kurudi

Mabasi wakati wa mechi wanaranda 24hrs na pesa zote kwa Simba No DALADALA Uchwara
 
Good to hear;Now Simba fans can atleast set their confidence over the club leadership under Ismail Aden Rage the club chairman.Bravoo Simba Sports Club.
 
Back
Top Bottom