Haa! Hata huu hatuuwezi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haa! Hata huu hatuuwezi?

Discussion in 'Sports' started by Masika, Apr 26, 2011.

 1. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2011
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Habari wanajamvi,
  Jana nlikuwa nikiangalia taarifa anuai za fainali ya michezo/matamasha ya pasaka
  Kilichonisikitisha ni kwa Timu ya Tanzania kushika mkia kwenye mchezo wa DARTS
  Duu ina maana sisi tuko nyuma kila kitu hata huo? riadha kimeo,miguu balaa,basket!!
  Juzi tu tulifungwa 2:1 na Uganda vijana under 23,pia tumeendeleza uteja maputo,
  Msumbiji wakatulamba 2:0 kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa
  Sasa nauliza tunaweza nini?
   
 2. Big One

  Big One JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 759
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  mapenzi ndo tunayoyaweza
   
 3. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2011
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  haaa ha haaa

  hata hayo sina uhakika pia,labda kubebana ki fisadi
   
Loading...