Kocha julio maiti isiyonuka

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,930
22,085
Nimejiuliza huyu bwana anatumia uchawi ama lah
nikajaribu kuona huko nyuma amekuwa akibwabwaja kwenye redio apewe kazi na
kweli viongozi wa tff wanampa anaaribu anaishia kwenye matangazo ya redio

majuzi amepiga porojo sana na mbaya zaidi amekuwa akimtumia mlevi mwenzake mtangazaji
wa redio one kubwabwaja kwamba wazawa wanaweza kushika timu ya taifa na kufanya maajabu
mbaya wiki moja kabla alikuwa na mlevi mwenzake pale breakpoint kwenye kona wana kijiwe cha kihuni
gafla yule mbunge nasmikia jamani anaropoka bungeni wazawa wawezeshwe kupewa timu ya taifa loh

sasa kama watu wabnakaa bar na kulazimisha sehemu zao za kazi kuwaweka wahuni kwenye timu yetu tutaacha lini aka kamchezo nakupongeza sana kwa jinsi unavyoweza kuziteka akili za wah kama tenga na wenzake
ninahakika si mbali tutakupa tena utupeleke kule gabon
inshallah
 
wewe ni mpenzi wa yanga ni mmoja ya wale watu waliokuwa wanazomea taifa wakati kilimanjaro ikicheza sasa ubaya unalipwa hapa hapa duniani ....zamareki ndio watakao watia adabu ya kujua uzalendo ni kitu katika iliyonyuma kimpira kama yetu,
 
karas inga huko sijafikaa mpwa mi niko jkt ruvu najua utoipenda hii ndio chama langu hata kama atutawahi kuwaona hao zamaleki
anyway hiyo sio tatizo kaka kwa ushabiki hata kinshasa kaulize wakwambie ni aibu kama hii kocha akichagua ujinga wananchi wanagawa ujinga uwanjani..swala la yanga ishabikieni zamaleki m bado nabaki jkt ruvu
 
afadhali jamhuri mara laki moja kuliko paulsen anayekula pesa zetu tu hapa hana anachoongea wala anachofanya
 
mpaka sasa hakuna kocha anaeweza kuifundisha taifa stars, ukianzia huyo mzungu na hata hao wazawa, hii yote ni kutokana na ubabaishaji wa kumpata kocha anaefaa.......aibu sana TFF.
 
huyu jamaa alikua mwiba kwa maximo, kuhusu kumpanga kaseja, kapewa team anaanza kubwabwaja.
 
Tatizo kubwa hapa kwetu sio kocha gani anafaa kufundisha taifa stars, bali ni mfumo mzima wa timu zetu kuanzia ngazi za vilabu. Hata kama tukampa Sir Ferguson hii timu hawezi kuleta miujiza, kwa sababu atawatumia hawa hawa akina J Jabu, Nadir, Ngasa, Ndinti, Dihile, Samatta, Mgosi, kwa sababu ndio tilionao.

kazi ya kocha wa timu ya taifa huwa sio kufundisha mpira kwa mchezaji mmoja mmoja, kazi ya kocha wa timu ya taifa huwa ni kuunganisha uwezo alionao kutoka ktk club yake za mchezaji mmoja mmoja na nakutengeneza mfumo mmoja wa uchezaji ili kuleta mafanikio kwa timu kwa ujumla.

Kwa hio mimi nionavyo ni kuwa tatizo letu ni uzalishaji wa wachezaji wanastahili kuchezea ktk ngazi ya vilabu na baadae kuitwa timu ya taifa kwetu ndio tatizo.

Mfano haiwezekai timu itengeneze nafasi na kuingia kwenye box zaidi ya mara 20 lakini wanashindwa kufunga magoli.
Sasa hio sio kazi ya kocha wa timu ya taifa, ni jukumu la mchezaji mwenyewe na trainning ya kutosha kule aliko lelewa ki-mpira.

Suluhisho
1. Sports academy karibu kila wilaya
2. kufufua michezo mashuleni
3. Iwepo kwenye kipaubele cha nchi kwa zababu ni ajira
4. Kila club inayo shiriki ligi kuu iwe na progaramme za watoto kam u-12, u-17, u-21 na timu senior timu

Hapo ndipo tutakapo thubutu kushindana na timu za Nigeria, Cameroon, Senegal, Misri, na nyingine nyingi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom