Simba SC na Asante kotoko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Simba SC na Asante kotoko

Discussion in 'Sports' started by yegella, Dec 11, 2011.

 1. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  wana jamvi tuhabalishane kinacho endelea kwenye uwanja wa taifa kati ya miamba wa Africa baada ya Yanga (Yebo yebo) kuingia mitini...
  je simba atapigwa za Real Madrid
  Shabiki Kapagawa na Ushindi.jpg
  Mashabiki wa simba
  amoss.jpg
  Mshambuliaji wa Asante Kotoko
   
 2. M

  Masuke JF-Expert Member

  #2
  Dec 11, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Half time bila bila, Simba ni wachezaji wanne tu ndo wanacheza timu ya wakubwa wengine wote ni vijana wa Matola wale mabingwa wa Uhai Cup.
   
 3. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #3
  Dec 11, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Safi sana simba na napenda kikosi hicho
   
 4. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #4
  Dec 11, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  vyovyote itakavyokuwa, Simba washukuriwe kwa kuonyesha uzalendo hususani ktk kuazimisha miaka uhuru ya Tanganyika a.k.a Tanzania Bara.
   
 5. M

  Masuke JF-Expert Member

  #5
  Dec 11, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  full time: simba 0-1 Asante Kotoko.
   
 6. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #6
  Dec 11, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  wameonyesha uzalendo au ni muendelezo wa kudhalilisha taifa?
   
 7. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #7
  Dec 11, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hili nalo neno: kufungwa tena kwenye hii ardhi ya Tanganyika!!!!!! inavunja moyo kwakweli..
   
 8. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #8
  Dec 11, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hivi ni lini tena wanakichanganya Yanga FC & Simba FC wakipige na Asante Kotoko FC? ama ndiyo hiyo imepita tayari?
   
Loading...